Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

Kesi hii itaunguruma Dec 3, Najiuliza Kubenea hakushirikiana na Clouds kabla!? Vipi Wakati wa kutoa Ushahid kabla si atahitaji Picha na Baadhi ya Mashahidi kutoka Clouds!? Vipi watampatia na ikiwa wamesema hawahusiki (means hawatajihusisha)? Bila Ushirikiano kutoka Clouds Kubenea anashindaje hii Kesi!?.
 
Kesi inaanza tarehe 3 alafu Makonda yupo mtaani anadunda tu huku gaidi akiwa selo
Akili zako ndogo sana. Sitashangaa siku nikisikia uliiba mitihani wewe!
Anapandishwa kizimbani
 
Tunaojitambua tulijua tu Mwanasheria uchwara anatafuta kiki kupitia mgongo wa Makonda.
Tafakari hili. Uvamizi ulifanyika au haukufanyika? Ni kweli Clouds hawahusiki na mashtaka haya, lakini wajue wanaweza kuitwa kuwa mashahidi wa jamhuri. Hapo itabidi waseme ukweli!
 
Mkuu hujui jinsi SYSTEM inafanya kazi, kama kweli SYSTEM inataka Makonda ale mvua basi hao Clouds Media Group itapigwa simu moja tu watatafutana kwenda kushiriki kesi kwa kutoa ushahidi.

Easy sana, unatuma TRA, unaminya zabuni za matangazo ya Serikali, unaminya zabuni za taasisi binafsi zinakuwa diverted kwa redio na TV pinzani. Unaleta 'figisu' kwenye Fiesta a.k.a Bata La Dar...

Huyu Sasali ni mwana CCM mlamba viatu the alike ya kina Kijo, BabyKabay & Co.

Ruge hii inshu ilimuuma sana sana.
 
Sasa kwa kukuelewesha Kubenea kaomba maombi maalum...
Kuomba kibali cha kudhibitisha jinai
Pili mstakiwa wa tatu afunguliwe kesi baada ya uchunguzi kwa amri ya mahakama
DPP na DCI watakuwepo kama respondent na wafuatiliaji wa maombi ili kujiridhisha na jinai
Of which is fine, right Procedure, Bashite lazima aelekee Kibra
 
Of which is fine, right Procedure, Bashite lazima aelekee Kibra

Sasa ulikuwa unabisha kitu gani..charge sheet inawezekana hata hujaisoma ukawa unatiririka hivyo hivyo tu
 
Sasa ulikuwa unabisha kitu gani..charge sheet inawezekana hata hujaisoma ukawa unatiririka hivyo hivyo tu
Nimeona Mkuu
Kimsingi Kubenea anaiomba Mahakama iiiamrishe Jamhuri imtie ndani Nduli Bashite
Sasa Kwa hizi Mahakama za CCM, labda Hangaya apende
 
Tafakari hili. Uvamizi ulifanyika au haukufanyika? Ni kweli Clouds hawahusiki na mashtaka haya, lakini wajue wanaweza kuitwa kuwa mashahidi wa jamhuri. Hapo itabidi waseme ukweli!
Kwani Jamhuri ndiyo inashitaki? Siyo Kubenea tena?
 
Back
Top Bottom