Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

Kwani alichokifanya makonda ni kosa au siyo kosa? Kama ni kosa kisheria lazima awajibike kwa kosa lake hata kama Clouds hawataki. Sisi hatuangalii kama clouds wanataka au hawataki bali kosa.
 
Deal done, imeisha hiyo! nacho jua Makonda mjanja sana, atakuwa ashamuangukia mzee wa Msogery, na kumuomba amuombee samahani kotekote.

afu mambo pyuuu. Pili, hiki kigazeti nahisi kinadanganya hakuna cha Mwanasheria wala nn ni kujirudisha kwa wateja tu na kudraw tention ya watu.
 
Hii ngoma ingemkuta Ruge mzee wa fitina daaaaah angeinjoy sana hii moment maana ni kitu alikuwa anakisubiria kwa hamu sana. Bahati mbaya kimetokea yeye ameshadedi.
 
Clouds hawajiamini ndio maana wanaogopa lakini ikitokea akashtakiwa na akatiwa hatiani watafurahi.
 
Huko aliko huyu bwanamdogo atakuwa na hali mbaya
 
Nakukumbusha tu kwamba case ya huyu jambazi inaanza tarehe 3.12.2021.
Haki itatamalaki . Tutajua kwamba yeye alihusika kumshambulia tundu lisu na wengine wengi.
Endelea kushangilia upumbavu
Eti madawa ya kulevyya
Kesi inaanza tarehe 3 alafu Makonda yupo mtaani anadunda tu huku gaidi akiwa selo
 
Kubenea ndio jamhuri kumbe..duh
 
Jamhuri ya Kubenea duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…