Clouds Media na ukabila

Clouds Media na ukabila

Status
Not open for further replies.
Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Mbona husemei baraza la mawaziri kusheheni wabunge kutoka mkoa wa pwani?
 
Pia mbona sisemi teuzi nyingi za jpm zimejaa watu wa kigoma kama makamu wa rais, aliyekuwa katibu mkuu kiongozi, ndalichako, kaculila nk
 
Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Ndio za watu hawa. Chalamila atawaambia vizuri yawapasayo.
 
Kwanini clouds media ni wakabila sana. Almost wote ni wahaya na interview zao wanakuuuliza jina lako ili wajue we ni mhaya au la! Wapo wachache sana ambao siyo wahaya lakini wameajiriwa kwa bahati mbaya.
Kampuni binafsi hii. Wanaajiri wawapendao. Kabila lako wakaanzishe kituo chenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom