Wapuuzi sana kwa kujikomba yaani hawana tofauti na tbcKama ni kweli itakuwa poa sana. Maana hiyo kampuni ina kihere here sana haswaa inapofikaga ktk nyakati hizi za uchaguzi. Huwa wanajifanya wao ni TBC namba 2
Safari hii kitaeleweka tuWatanzania tukatae udikteta. We want our country back.
Uswahili tuHivi radhi huwa ni nini jamani..? Nashangaa Sana mtu kusema ati uombe radhi!
Mi huwa nawauliza hiyo radhi wanayo ili niwaombe lkn huwa wanakuwa hawana!!..
Tusaidiane jamani Sasa Kuna wengine ndo huwa wananichanganya kabisa mwengine unakuta anasema namwaga radhi!!.. Sasa radhi ni nini?
Sasa hivi ni zaidi ya kimbunga mkuuKura za Tundu Lissu zinazidi kuongezeka.
Ningekuwa nimewapa tangazo langu walitangaze kwa hizo siku 7alafu ndiyo wamefungiwa wangenitambua dadeeekiHasara kubwa sana
Hawawezi kujichunguza au kujikalipia.Ni lini vyombo vya ccm vimewahi kuchunguzwa na TCRA, mpaka mkuu uvitaje kama kipimo cha vyombo huru?
Kujipendekeza kukizidi kunazaa Mauti, alisema NyerereClouds Media Wanajipendekeza sana mpaka wamepitiliza.
🙄🙄Hivi radhi huwa ni nini jamani..? Nashangaa Sana mtu kusema ati uombe radhi!
Mi huwa nawauliza hiyo radhi wanayo ili niwaombe lkn huwa wanakuwa hawana!!..
Tusaidiane jamani Sasa Kuna wengine ndo huwa wananichanganya kabisa mwengine unakuta anasema namwaga radhi!!.. Sasa radhi ni nini?
Sio sawa, watu wamefanya uwekezaji wa lifetime pale.Wasiwafungie tu Bali wachukue na makatapila wakavunje na kusagasaga ofisi zao pale mikocheni karibu na mwai kibaki road.
I told him waaaaay back aache kujiona anajua kuliko wengine.Anasikiliza nini?
Haujiamini, uko inferior sana, hauwezi kuwa GT
jahazi imefungiwa? mbona wanatangaza kama kawaida au jina la kipindi ni tofauti?Sasa Jahazi ndio kipindii kilichokuwa kimebaki chenye akili, kishafungiwaa basi imebaki kuwa Radio ya Umbeya
pamoja na kupiga zile nyimbo pendwa za ccmWakirudi itakuwa ni kusifia ccm tuuu.
huku wakilia na kusaga meno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote kwa pamoja wanatakiwa kuwa hewani huku wakisema tusamehe ewe Fisiemu tumekosa sana