Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Clouds Media wafungiwa kwa siku 7, kwa kutangaza Takwimu za Uchaguzi ambazo hazijathibitishwa na Tume

Kusaga kada mtiifu wa CCM pitia comments humu ili uboreshe radio yako vinginevyo utakua sawa na uhuru FM
 
Nafikiri ndio chombo cha habari pekee ambacho kilikuwa na watia NIA wengi zaidi, na ni chombo cha habari ambacho baadhi ya watangazaj wake wame nufaika na uteuzi wa nafasi mbali mbali za uongozi, so wakahisi washamaliza.

Binafsi nawashangaa sanaa jamaa slogan yao ni "people's station" sasa ajabu siku izi imekuwa ni politic station yaan mpaka unawashangaa yaan. Mfano embu fanya comparison ya kipindi chao cha klaus 360 na baragumu ya chanelten .. yaan utagundua baragumu they are so far jamaa wanazungumzia issues. Ilaa ss 360 always ni politics tu sijui mgombea flani, mara sijui mzee mbaba kafanyaje, mara wana hoji eti ugomvi wa mkuu wa wilaya flani na umoja wa vijana wa chama flan ..all these things are nonsense. Waswahili husema "mbio za sakafuni mwishowe ukingoni .."

Hakika mmepoteza direction yenu kwa style yenu iyo within five years guyz you will perish away. Acheni mambo ya siasa. Fanyeni burudani. Angalieni washindani wenu radio e. Yaan jamaa they are out of politic kabisa.
 
Mbona kuna wengine wamepewa mpaka vyeti vya ushindi sasa NEC mbona wametoa bila ya kuhakiki huo ushindi. Bora clouds wasamehewe tu!
 
Hilo ndio Gap LA kuondoka Ruge mutahaba. Maana jamaa alikuwa Yuko active sana kufuatilia vipindi ,hata issue ya bashite na gwajima aliwaambia wabalance story ndio iende hewani.... Sam Sasali anaropoka tu na kujifanya mjuaji kila kitu....shaffii dauda kapwaya Sana bora kusaga atafute mtu serious kusimamia vipindi.. Radio haina nidhamu kila mtu anaropoka anachojisikia ndio maana jahazi ilifungiwa.
😆😆😆😆😆 Sam ana tiririka tu akiamini na yeye uteuzi upo mlangoni 😆😆😆😆 mwache atiririke tu.
 
Wasalaam,

Serikali ya CCM imeendelea kufungia vyombo vya habari kwa kutumia sheria kandamizi, yalianza magazeti sasa ni zamu ya clauds media hatujui kesho zamu ya nani lakini inashangaza vyombo vingine vya habari vikichekelea clauds media kufungiwa na hata MCT wamekaa kimya na wemebariki uharamia huo.

Ni vema serikali ikavilea vyombo vya habari kama mlezi na sio kuvifungia na kivitisha haileti afya.

Maendeleo yana vyama
 
Poleni clouds, jirekebisheni haraka vinginevyo mtafungiwa leseni kabisa.

Hata hivyo naona kama wamesitisha kuomba radhi mfululizo kama walivyo takiwa na TCRA jana niliona matangazo ya kuomba radhi lakini leo tarehe 28/8 kimyaaa, je kuna maelekezo mengine au wamekaidi?
 
Kwa nin wasivifungie vyote chumbani kwao kama wanaona vinawakera
 
Kwani wapinzani wako wakienguliwa si unakuwa umepita bila kupingwa. Au wanaanzisha mfumo kura za ndio au hapana. Je! Hapana akishinda nano atakuwa ameshinda?
 
Poleni clouds, jirekebisheni haraka vinginevyo mtafungiwa leseni kabisa.

Hata hivyo naona kama wamesitisha kuomba radhi mfululizo kama walivyo takiwa na TCRA jana niliona matangazo ya kuomba radhi lakini leo tarehe 28/8 kimyaaa, je kuna maelekezo mengine au wamekaidi?
WALIAMRIWA HIVYO YANI JANA SIKU NZIMA WAOMBE TU RADHI NA KUANZIA LEO NDIO WASITISHE MATANGAZO YOTE.
 
360 ILIHARIBIKA BAADA YA ADSON KAMOGA KUPEWA CHEO NA MZEE BABA, ALIPOONDOKA NDIO AKAJA HASSAN NGOMA, HUYU SASA NDIO ALIANZA KUKIHARIBU KIPINDI NA KUZIDISHA SIASA MPAKA SAM SASALI NAE AKAMUIGA MATOKEO YAKE WAKAHARIBU KILE KIPINDI.

ILA BABY KABAE YUPO VIZURI SABABU HAEGEMEI UPANDE WOWOTE.
 
Samaki mmoja akisha OZA waliokuwemo ktk jumu ilo wote wana OZA pia.
 
Back
Top Bottom