ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
Mabosi wa chadema wana redio zao sema tu hazijasambaa nchi nzima, zinaishia mikoa ya kaskazini tuUmeona sasa!!! only smart people will understand this.........hivi lini chadema wanakuja na chombo chao??
Kujipendekeza huwa kitu kibaya sana wamesahau kuwa ccm ya sasa haitaki kukosolewaKama ni kweli itakuwa poa sana. Maana hiyo kampuni ina kihere here sana haswaa inapofikaga ktk nyakati hizi za uchaguzi. Huwa wanajifanya wao ni TBC namba 2
Upo sahihi sana kiongoziMimi Clouds huwa siwasikilizi hata siku moja na siwapendi kwani ni vibaraka. Ile Clouds ya mwanzoni kabisa ndiyo ilikuwa pure entertainment studio na hata siku moja walikuwa hawaweki mambo ya siasa. Ila natoa tahadhari. Hata kama adui yako akipatilizwa na hizi sheria za kikandamizaji zilizobuniwa na hawa watawala waoga, usifurahie. Hao wamefungiwa siku saba tu, lakini target yao ni kufanya media ziogope na inaonekana kuna maandalizi ya kuja kufungia chombo huru tena kwa muda mrefu.
Waambie wamuulize Mbatia.Hata kama wanakubali kuwa wanasesere wa CCM wasifikiri ccm ina rafiki ccm inachotaka ni kututawala kwa mabavu na kutukandamiza
Hao wafanyaKazi wa CMG utawalisha wewe ?Wasiwafungie tu Bali wachukue na makatapila wakavunje na kusagasaga ofisi zao pale mikocheni karibu na mwai kibaki road.
Aisee!!! Nimecheka sana Jf raha sanaWaambie wamuulize Mbatia.
Maana walimvuta kaingia 18 akaanza kutamba ana kwenda kuwa KUB. sasa hata viti maalum hajui kama atapewa.
Kazi ipoKwa hiyo wataomba radhi kila saa ? yaani kila wakirusha matangazo yatakuwa matangazo ya kuomba msamaha?
[emoji106] [emoji106]Nyie hamjagundua plan
Lissu ataanza kampeni DSM
Vyombo hivi vya habari sasa hivi kwenye kipindi rasmi cha kampeni ni vigumu kuvidhibiti kutotangaza habari za wapizani 100%, yaani wataanza kutupia tupia, na hilo watawala hawalitaki!
Kwa hiyo plan ni ifungie Cloud Media ambayo inasikilizwa na wananchi wengi zaidi kuliko vyombo vingine ili kupisha kimbunga cha Dar, maana CHADEMA wamejiandaa kufungulia kampeni Dar
Sasa Dar ikikubali kwa Lissu, ni rahisi mikoa mingine kuitika!
Kwa hiyo watawala wanataka siku CCM wakiwa Dar, Cloud Media itakuwa imeshakuwa huru kurusha mikutano ya CCM na hivyo kuwapa CCM coverage kubwa.
Eleweni hii michezo ya kisiasa inavyochezwa nyie
kweliHawa wanaofungia vyombo vya habari wangetafakari kwanza wanapoteza ajira za watanzania wangapi? Au hao walishatengeneza ajira ngapi? Au hao hawaoni hii changamoto ya ajira?
Wakati mwingine watanzania tunakatishana tamaa wenyewe, hili suala la kutangaza matokeo kabla ya tume ni suala la kupewa onyo tu ingetosha kuliko kutukosesha habari wiki nzima.
Wajue pia kuna vipindi vya kuwasaidia watu kama njia panda, je wanajua kua wameharibia watu kusaidiwa?
Bongo nyoso sanaWakurungezi waliokuwa wanawatangaza wabunge wa CCM na kuwathibitisha kwa hati kuwa ni wabunge wamepita bila kupingwa wameachwa wanafungiwa wale waliotangaza kile kilichotangazwa na wakurugenzi ambao ndio tume yenyewe.
Duh yaani watakuwa kimya kabisa siku 7?