M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Tundu Lissu ni Mtu Muungwana sana. Habagui watu kwa level ya elimu au uelewa wao.Kwa akili kubwa kama za Lissu unapelekaje aina hii ya waendesha vipindi vya burudani (sio Waandishi wa Habari) kumhoji? Mtu kahojiwa BBC Hard Talk tena kwa lugha ya Kiingereza utamuweza wewe kanjanja??
View: https://www.youtube.com/watch?v=h9cHr7NLIBA
HahahaMwisho wakataka Lissu awaulize maswali waandishi. Hovyo kabisa
Hili jina tu Kijakazi inaonyesha ni mtu kutoka background ya uswahili uswahili na kukata mauno.Kijakazi kazingua, sukari ilimpanda mpk anataka Lissu ndo awaulize wao maswali 😹
Wamezingua kweli yani. Wasirudie tenaKwa akili kubwa kama za Lissu unapelekaje aina hii ya waendesha vipindi vya burudani (sio Waandishi wa Habari) kumhoji? Mtu kahojiwa BBC Hard Talk tena kwa lugha ya Kiingereza utamuweza wewe kanjanja??
View: https://www.youtube.com/watch?v=h9cHr7NLIBA
Walipotezana, Lissu anatisha aiseeMwisho wakataka Lissu awaulize maswali waandishi. Hovyo kabisa
Yule kija kaaribu sana aiseeKwa akili kubwa kama za Lissu unapelekaje aina hii ya waendesha vipindi vya burudani (sio Waandishi wa Habari) kumhoji? Mtu kahojiwa BBC Hard Talk tena kwa lugha ya Kiingereza utamuweza wewe kanjanja??
View: https://www.youtube.com/watch?v=h9cHr7NLIBA
Wamezoea kufanya interview za udaku sio mambo hard.Walidhani Lissu ni sawa na Mbowe
Clouds Media ni project ya serikali?Kwa akili kubwa kama za Lissu unapelekaje aina hii ya waendesha vipindi vya burudani (sio Waandishi wa Habari) kumhoji? Mtu kahojiwa BBC Hard Talk tena kwa lugha ya Kiingereza utamuweza wewe kanjanja??
View: https://www.youtube.com/watch?v=h9cHr7NLIBA