Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
π π π πSisi walimu tunafuraha na mishahara yetu ndio maana mwalimu wako wa primary mpaka leo Bado yupoo Tena Yuko fit kweli kweli ... ....
Ualimu ni kazi nzuri sana ,Haina stress ,hauzeeki kabisa ,kiufupi unaenjoy maisha kabisa ......
Kuwa na pesa kitu gani bana ,hapa dunian cha mhimu ni furahaaaaa tu ,just to be happy...hayo mengine ni kujilisha upepo ....
Walimu oyeeeeeeeeeeeeee tuchapee kaziii ndugu zangu walimuuui
Nadhani huyu jamaa ana matizo na walimu sijui walimfanyia nini?Mpwayungu Village amerudi kwa kishindo. Hivyo Walimu wakae mkao wa kula.
Hata Mimi najiulizaWee jamaa walimu walikukosea nn?[emoji4]
Alisema diploma ya ualimu akaona haina mchongo akataka kujiendeza degree akakosa hela, saiv yupo kwenye NGO anasaka tongeWee jamaa walimu walikukosea nn?[emoji4]
Walimu wengi ndomaisha Yao kama sio wengi basi ni wote, wanaishi Kwa kufosi mlo wa mchana na jioni. Maisha ya kiprimitiveMpwayungu Village unanikumbusha enzi hizo ilikuwa lazima ununue cake za mwalimu kama huna pesa unakopeshwa kilazima kudadeki ili kesho ulipe na ole wako usipolipa deni utajuta kwa fimbo utakazozioga.
Asubuhi ilikuwa must kwenda na sh 200 kila siku ("za masomo ya ziada") ...tulikuwa wanafunzi wengi zaidi ya 200 kwa madarasa mawili tu. Mchana walimu wanawateua mabinti (wanafunzi) wawili wakawapikie misosi ya kibabe. Kilabsiku walikuwa wakigawana pesa na kulikuwa hakuna hata hayo masomo ya ziada