CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

Tanzania port Authoritie Dar es salama.. muajiriwa wa chini kabisa kila siku ana over time ya 40K

Anaingia job saa 1 asubuhi mpaka saa 12 jioni over time ni hiyo 40k kila siku
40k x30= 1200000
So mbali na mshahara muajiriwa wa TPA ana over time ya milioni moja na laki mbili [emoji23][emoji23]
Hapo bado kuna transport allowance kuna housing allowance na na nyinginezo na

OVER TIME YA TPA NI MISHAHARA MIWILI YA MWALIMU

Mwalimu mwenye degree mwenye mkopo wa bodi take home anapata kati ya laki 5 na elfu 30 mpaka laki 5 na elfu sabini

Walimu wana hali ngumu ni vyema wakapaza sauti wapewe hata teaching allowance
Bachelor Ii Mpumbafu wewe mimi ni mwalimu na wazazi wangu wote walikuwa walimu na maisha yetu ni mazuri kuliko hata hayo ya wafanyakazi wa TPA unaojikomba kwao. Suala na maisha na maendeleo ni kujipanga wala sio kipato wewe kapuku. Tena uwe na adabu!
 
Bachelor Ii Mpumbafu wewe mimi ni mwalimu na wazazi wangu wote walikuwa walimu na maisha yetu ni mazuri kuliko hata hayo ya wafanyakazi wa TPA unaojikomba kwao. Suala na maisha na maendeleo ni kujipanga wala sio kipato wewe kapuku. Tena uwe na adabu!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa.

Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue vibiashara vyenu vya ubuyu na ice-cream za ubuyu wa mia mia vibiashara ambavyo faida yake haifiki hata Buku tano.

View attachment 2632018
Hawa watu wanatakiwa kukemewa maana wanaongea ujinga mwingi sana..

Hivi mnajua salary ya Mwalimu wa degree ni kubwa kuliko injinia wa Halmashauri mwenye degree?

Hivyo hivyo Kwa diploma au cheti? Hao wengine hawadhalilishwi ila Walimu tuu?

Na nyie Walimu kataeni kudhalilishwa na kutumiwa kutafutia umaarufu Kwa watu wapuuzi
 
Back
Top Bottom