Mickbrown
JF-Expert Member
- Sep 13, 2022
- 409
- 496
Yani uyu jamaa namshangaa kinyama ao walimu wakuwadhihaki kila siku ni kwa faida ya Nan??? Alafu kwa nn statement zake ni za generalization?? Kweli kila mwalimu ni WA hovyo kama anavyo zani ?? Dah...izi sifa za kijinga kweli . Kwa nn asiandike barua ya wazi kwa Rais yeye mwenyewe akili na maona alisemee hili kundi lisilo na akili kama ambavyo amekuwa akisema?Inaonesha wazi wewe ilikosa hii ajira. Waalimu hawa hawa au wengine ? Unafika shule ya Msingi kumefurika. Magari ndani ya parking ya Waalimu utafikiri showroom pikipiki hazina idadi .