kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
CCM WAMEWAFANYA WALIMU MISUKULE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi matumizi ya R&L, una hoja usikilizweKila Mwalimu anahaha jana kuanzia asubuhi kutoka grosari moja hadi nyingine, duka moja hadi lingine. Mnawaza namna ya kupata pesa tu. Kisa tu mshahara umechelewa. Mbaya zaidi mnazurula na vishikwambi kama madaftali ya watoto wa la kwanza.
Kwa maisha haya mshahara usipotoka kwa wiki mbili itakuwaje?
N.b . Naomba niweke sirini jina la mahala nilipo kwa usalalama wangu ila hii ni picha kamili ya walimu wote Tanzania
Mbona walimu wana majonzi SasaMbona mshahara tayari jaman
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani walimu sio watuSiyo waalim tu watu tumefulia,
Mwigulu kaamua kukataa kutia saini tuone
Leo ni tarehe 24 bado siku 7 mwezi uishemshahara wa may mpaka muda huu bado sijui tunakopwa mwezi huu
Sio waniloge, waniuwe tu[emoji23] mpaka wakuloge ndio utaacha kuwasakama
Wwe kwann ulipata DIVISHENI FOOMpwayungu tunakuomba utusamehe sisi walimu ni Vilaza. Tuko chini ya miguu yako.
Tusamehee sisi, tusamehe sisi, tusamehe sisi.
Tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa sana.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji119]