CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

Kila Mwalimu anahaha jana kuanzia asubuhi kutoka grosari moja hadi nyingine, duka moja hadi lingine. Mnawaza namna ya kupata pesa tu. Kisa tu mshahara umechelewa. Mbaya zaidi mnazurula na vishikwambi kama madaftali ya watoto wa la kwanza.

Kwam maisha haya mshahara usipotoka kwa wiki mbili itakuwaje?

N.b . Naomba niweke sirini jina la mahala nilipo kwa usalalama wangu ila hii ni picha kamili ya walimu wote Tanzania
Hizi ni tuhuma zisizokuwa na ushahidi wowote zenye lengo la kuwadhalilisha waalimu!

Kama kuna mwalimu mmoja amefanya hayo, usijumuishe waalimu wote.
 
Yuko kwenye Duka la Mgosi!
Nawashauri walimu wenzangu wajiongeze nje ya ualimu,mathalani Mimi ukiacha ualimu ninalima,nafuga,nafanya biashara na ni mwanasiasa ndani ya CCM

Na pia ni master kucha,na Nina mpango wa kufungua Manicure and Pedicure salon yangu hapa Tanganyika mjini

Kama haitoshi mwanzo wa wiki hii yote nilikuwa ziara ya kikazi wilayani Meatu,na Leo nipo Bariadi,kesho kutwa Mwanza then weekend nitakuwa Bukoba maeneo ya Izimbya kusalimia wakwe Kisha Jumatatu ijayo nitarudi zangu Tanganyika kuendelea na chaki na kiboko

Route zote hizi zote ni pesa,

Nawashauri walimu wenzangu tuache starehe,bonanza na kubeti

Mshahara utanikuta pazuri
 
Hizi ni tuhuma zisizokuwa na ushahidi wowote zenye lengo la kuwadhalilisha waalimu!

Kama kuna mwalimu mmoja amefanya hayo, usijumuishe waalimu wote.
Na ni yeye mwenyewe,kawataja wenzake Ili kujificha tu
 
Shida ya Hawa viumbe wana mishahara kiduchu iliyojaa madeni kwahiyo kuishi Kwa laki mbili take home yataka moyo wa chuma. Ninavyoongea hivi walimu mitaani wanatembea wanaongea peke Yao nakupiga makopo barabarani kama Mpira maana hawajui kula yao mpaka sasa.

Wamekuwa wakitegemea mshahara tarehe za 21 na 22 ukizidisha hapo wanajazana Kwa mangi kukopa dagaaa, Unga, chumvi na mafuta ya kupikia ya Mia Tatu Sasa maisha gn haya walimu jamani. Ebu jiongezeni hata kutafuta njia mbadala ya kuingiza kipato ona mnavyofedheheka.

Siku za mshahara ebu wanajf piteni pale NMB Songea muone iyo vuu ya foleni ya walimu mstari ni mrefu jamani khaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23], pita NMB mihayo pale tabora mjini utacheka ufe, asa wanajazana kwenye maATM kati siku hizi huduma kiganjani tu pesa unaitoa Kwa simbanking inaingia tigopesa au mpesa, au unaenda Kwa NMB wakala unatoa tu. Utaskia makato ni makubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Back
Top Bottom