Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ukweli inasikitisha sana, nimesikia kitaa binti mmoja aliyepata ajira mpya za Samia alilazimika kutembea na baba mwenye nyumba kwa kushindwa kulipa kodiMpaka vyombo vya Habari vimeliona hili, walimu mjitathimini vinginevyo mtadharaulika mpaka kufa kwenu. Mnachekwa mpaka na watoto wanadai mmekuwa ombaomba kwa kuwaomba wanafunzi wawanunulie Chai muda wa break na wakisema pesa hawana mnawachapa.
Walimu wengi mnawalazimisha wanafunzi wanunue vibiashara vyenu vya ubuyu na ice-cream za ubuyu wa mia mia vibiashara ambavyo faida yake haifiki hata Buku tano.
View attachment 2632018