CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

Kila Mwalimu anahaha jana kuanzia asubuhi kutoka grosari moja hadi nyingine, duka moja hadi lingine. Mnawaza namna ya kupata pesa tu. Kisa tu mshahara umechelewa. Mbaya zaidi mnazurula na vishikwambi kama madaftali ya watoto wa la kwanza.

Kwa maisha haya mshahara usipotoka kwa wiki mbili itakuwaje?

N.b . Naomba niweke sirini jina la mahala nilipo kwa usalalama wangu ila hii ni picha kamili ya walimu wote Tanzania
Jitahidi matumizi ya R&L, una hoja usikilizwe
 
Hawa viumbe wanatia aibu sana, unakuta wenyewe ndiyo wamejaza foleni za atm siku wakiambiana salario imetoka. Wakipata salary inaliwa wiki mbili wako bankrupt njaa kali hata kufundisha inakuwa shida. Wa vijijini wamejiongeza wanakata mkaa, wana vimashamba na wake zao wanakaanga vitumbua na maandazi. Wale wa kike wanauza visheti, karanga, kacholi ili kupunguza makali.
 
Mpwayungu village hebu tuambie mbona kuna walimu mijini wana magari na wengine bodaboda na bajaj, wanazipataje ikiwa wana mishahara midogo?
 
Mpwayungu tunakuomba utusamehe sisi walimu ni Vilaza. Tuko chini ya miguu yako.

Tusamehee sisi, tusamehe sisi, tusamehe sisi.

Tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa sana.
 
Back
Top Bottom