Bachelor Ii Mpumbafu wewe mimi ni mwalimu na wazazi wangu wote walikuwa walimu na maisha yetu ni mazuri kuliko hata hayo ya wafanyakazi wa TPA unaojikomba kwao. Suala na maisha na maendeleo ni kujipanga wala sio kipato wewe kapuku. Tena uwe na adabu!Tanzania port Authoritie Dar es salama.. muajiriwa wa chini kabisa kila siku ana over time ya 40K
Anaingia job saa 1 asubuhi mpaka saa 12 jioni over time ni hiyo 40k kila siku
40k x30= 1200000
So mbali na mshahara muajiriwa wa TPA ana over time ya milioni moja na laki mbili [emoji23][emoji23]
Hapo bado kuna transport allowance kuna housing allowance na na nyinginezo na
OVER TIME YA TPA NI MISHAHARA MIWILI YA MWALIMU
Mwalimu mwenye degree mwenye mkopo wa bodi take home anapata kati ya laki 5 na elfu 30 mpaka laki 5 na elfu sabini
Walimu wana hali ngumu ni vyema wakapaza sauti wapewe hata teaching allowance