Clouds na tabia ya kuisifu Yanga hata kama ni mbovu

Clouds na tabia ya kuisifu Yanga hata kama ni mbovu

Clouds fm kwenye kipind cha michezo wamefeli....sikilzeni efm ndo habari mjini....
Huyo shafii dauda hawezi kuwa mchambuzi....anachojua yy ku google mitandao ya soka ya ulaya na kuja redioni kututafsiria...
 
By the way ninunue gazeti hard copy LA nini??
Ni mwaka wa sita huu sinunui uchafu unaoitwa magazeti ya Tanzania!

Wanaonunua magazeti hard copy wengi ni wavuta sigara na bangi na WENGi Ni mikodisho fc,
Na wauza vitumbua wa uswahilini,ndio hao wapenzi wa yanga,hawajui magazeti unaweza kuyasoma online
 
Shafii Simba, anaongea ukweli mtupu..Simba ameshinda ila bado wabovu. Yanga ni timu ya kimataifa na bila kusahau n timu ya wananchi
Yanga timu ya chama ila Simba ndio timu ya wananchi.
 
Kusema kweli

Mashabiki wa simba wabahiri sana

Gazeti la 500 wanashindwa kununua

Mnaudhi bwana
Nyie kandambili bado mpo analogy ni lazima mnunue hayo magazeti!

Jero ninunue gazeti Moja?? Kwanini nisijiunge bando LA jero niyasome magazeti yote ya tz Rwanda Kenya Uganda USA n.k??

Simba sisi sio wajinga kihivyo wewe!
 
Hata watu hawana time na game ya azam na simba, hakuna high tension
 
Hata watu hawana time na game ya azam na simba, hakuna high tension
Fainali simba A na simba B(azam FC)...mnataka shaffii aongee nini kuhusu simba dk 90 Ibrahim kapiga shuti Moja... Mnajazana kati mnapaki basi mngefunguka msuva angewafanya kitu mbaya ..kichuya alicheza?
 
Tabia hiyo inasababisha watu wa Yanga wayapende magazeti. Na hata nyie hasa wewe Shaffi Dauda unapenda kuiponda sana Simba na kuibeba Yanga hata kama haistahili.

Acheni biashara hizo, mtaharibu biashara za watu.
Sana Alex Lwambano
 
Mpira Nimeushuhudia Live Dakika Zote 90..... Na Mikwaju Yote Ya Penalties Nimeishuhudia.... Sasa Gazeti la nini??
YeboYebo Acheni Kucheza Mpira Wa Magazeti.......
 
Tabia hiyo inasababisha watu wa Yanga wayapende magazeti. Na hata nyie hasa wewe Shaffi Dauda unapenda kuiponda sana Simba na kuibeba Yanga hata kama haistahili.

Acheni biashara hizo, mtaharibu biashara za watu.

ukikasirika kunya Boga...
 
Back
Top Bottom