Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
sisikiliz Cloud fm sabb ya unafiki wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah kumbe ni malaysia mkuu...Hahaaaaaaaaaaa nimeshangaaa Cmba itakuwa ya Malaysia hiyo
Nnaijua Simba ya Tanzania,Cmba ni ya MalaysiaHahah kumbe ni malaysia mkuu...
Na wauza vitumbua wa uswahilini,ndio hao wapenzi wa yanga,hawajui magazeti unaweza kuyasoma onlineBy the way ninunue gazeti hard copy LA nini??
Ni mwaka wa sita huu sinunui uchafu unaoitwa magazeti ya Tanzania!
Wanaonunua magazeti hard copy wengi ni wavuta sigara na bangi na WENGi Ni mikodisho fc,
Yanga timu ya chama ila Simba ndio timu ya wananchi.Shafii Simba, anaongea ukweli mtupu..Simba ameshinda ila bado wabovu. Yanga ni timu ya kimataifa na bila kusahau n timu ya wananchi
Nyie kandambili bado mpo analogy ni lazima mnunue hayo magazeti!Kusema kweli
Mashabiki wa simba wabahiri sana
Gazeti la 500 wanashindwa kununua
Mnaudhi bwana
Umeonaee hawa ni wafa majiSasa kama mbovu imepataje hizo penati na yanga wazuri wamekosaje hizo penati maana wa kimataifa sifa moja wapo ni lazima amudu kila nyanja?
Yanga ina mashabiki wengi Tanzania ndiyo maana inaonekana hivyo.Kiukweli magazet yanauza siku yanga ikishinda , hii ipo waz fanya utafiti, pia, hii inaonesha yanga ina mashabiki wengi kuliko simba
Siyo kweli kuwa mashabiki was Simba ni wabahili, Bali mashabiki wa Yanga no wengi.Kusema kweli
Mashabiki wa simba wabahiri sana
Gazeti la 500 wanashindwa kununua
Mnaudhi bwana
Fainali simba A na simba B(azam FC)...mnataka shaffii aongee nini kuhusu simba dk 90 Ibrahim kapiga shuti Moja... Mnajazana kati mnapaki basi mngefunguka msuva angewafanya kitu mbaya ..kichuya alicheza?Hata watu hawana time na game ya azam na simba, hakuna high tension
Ni wachache ... sio wabahiriKusema kweli
Mashabiki wa simba wabahiri sana
Gazeti la 500 wanashindwa kununua
Mnaudhi bwana
Sana Alex LwambanoTabia hiyo inasababisha watu wa Yanga wayapende magazeti. Na hata nyie hasa wewe Shaffi Dauda unapenda kuiponda sana Simba na kuibeba Yanga hata kama haistahili.
Acheni biashara hizo, mtaharibu biashara za watu.
Unajua Hanspope alichokifanya miaka ya 80?Yanga timu ya chama ila Simba ndio timu ya wananchi.
Kutoka kimataifa hadi kizanzibar 4G...!Shafii Simba, anaongea ukweli mtupu..Simba ameshinda ila bado wabovu. Yanga ni timu ya kimataifa na bila kusahau n timu ya wananchi
Wanunulie[emoji19] [emoji19] [emoji19]Kusema kweli
Mashabiki wa simba wabahiri sana
Gazeti la 500 wanashindwa kununua
Mnaudhi bwana
Tabia hiyo inasababisha watu wa Yanga wayapende magazeti. Na hata nyie hasa wewe Shaffi Dauda unapenda kuiponda sana Simba na kuibeba Yanga hata kama haistahili.
Acheni biashara hizo, mtaharibu biashara za watu.