Cilliary muscles
Member
- Jun 7, 2020
- 64
- 62
Nipende au nichukie yote ni faida kwangu,, 'uknipenda nitakua moyoni mwako, ukinichukia nitakua akilini mwako' sio manen yangu ni wahenga hao....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka jana mwishoni uongozi wa WCB Wasafi kupitia mwanasheria wao walipeleka barua Clouds Media kuwataka wasithubutu kupiga nyimbo au content yoyote inayomuhusu msanii wa WCB akiwepo Diamond.
Hatua kali za kisheria zitachukuliwa endapo Clouds Media watakiuka maelezo hayo.
Na fungua 'Clouds ya kwako' ili usikatishe matangazo.Yaani leo Clouds TV wameonyesha chuki ya wazi wazi mara baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani
Mkuu mbona tangazo la PEPSI kutanga chupa kubwa Baba Lao wanacheza
Ni undezi wa kiwango cha 'esijiara'Yaani leo Clouds TV wameonyesha chuki ya wazi wazi mara baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani
Niache Nteseke Hiyo barua imekuja baada ya kukaa mwaka mzima bila ngoma zao kupigwa Wcb wakaa wauliza sababu zipi zilizowafanya kutopiga ngoma zao kwa muda wote huo hii ndio hoja ya msingi sio takataka uliondika.WCB waliandika official letter kwa Clouds Media kuwa wasipige nyimbo zao na hawakusema matangazo yaliyofanywa na wasanii wa WCB ni nyimbo zilizoimbwa na wasanii wa WCB ndugu.
Sjui umeelewa vizuri mkuu...?
Yani ni uchawi wa hadharani kabisa huuNi tabia za kichawi tu na wivu umewatawala mbwa hawa.
Wasafi wakiongozwa na platnumz mwenyewe waliwaambia clouds wasirushe kinachowahusu, sioni kosa la clouds hapoNimewadharau sana clouds ktk hili..
Clouds walianza kutopiga nyimbo za wasafi muda mrefu Sana toa sababu zipi ziliwafanya kutopiga ngoma zao before hata wasafi kutizungumzia Hilo suala.Wasafi wakiongozwa na platnumz mwenyewe waliwaambia clouds wasirushe kinachowahusu, sioni kosa la clouds hapo
Tuliofuatilia kupitia azam tumeenjoy kuanzia mpangilio wa urushaji wao matangazo mpaka quality ya audio na video.
Azam wako international sana