Clouds TV wamekatisha matangazo ya moja kwa moja baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani

Clouds TV wamekatisha matangazo ya moja kwa moja baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani

Mwaka jana mwishoni uongozi wa WCB Wasafi kupitia mwanasheria wao walipeleka barua Clouds Media kuwataka wasithubutu kupiga nyimbo au content yoyote inayomuhusu msanii wa WCB akiwepo Diamond.

Hatua kali za kisheria zitachukuliwa endapo Clouds Media watakiuka maelezo hayo.

Nashangaa watu wamekula sabuni mapovu yanawatoka tu.

😃😃😃😃😃
 
Mwaka jana mwishoni uongozi wa WCB Wasafi kupitia mwanasheria wao walipeleka barua Clouds Media kuwataka wasithubutu kupiga nyimbo au content yoyote inayomuhusu msanii wa WCB akiwepo Diamond.

Hatua kali za kisheria zitachukuliwa endapo Clouds Media watakiuka maelezo hayo.
Mbona hujamalizia kuwa wasafi walitaka nyimbo zao zisichezwe clouds mpaka waambiwe kosa lao lililopelekea mwanzo zisichezwe
 
Hiyo mbinu yao ya kishamba ilishapitwa na wakati wanatakiwa kubadilika waende na wakati, WCB wana TV yao, radio station yao, bado siku hizi mitandao ipo kibao, wao kukatisha matangazo likitajwa jina la msanii wa WCB ni ujinga.

Kama walishindwa kuwazuia wasisikike wakati ule WCB hawana TV wala radio station leo hawawezi tena kuwazuia, wameshachelewa imekula kwao.
 
Afu hivi vi TV vya Tanzania ni wanafiki wakubwa; vyama vya upinzaji vikiwa na mikutano yao mikuu ya vyama vyao hawasogezi pua; hadi vyama hivi maskini anaamua kurusha online kwa resources zao ndogo; ila kwa CCM wamejazana Dodoma wanapigana vikumbo!!

Kweli kuikomboa nchi hii ni safari ndefu; na yataka moyo maana wanafiki ni wengi.
 
WASAFI NDIO HAWATAKI NYIMBO ZAO ZIPIGWE CLOUDS, HIVYO NI HAKI YAO CLOUDS KUTOKUMUONESHA MONDI
 
Tuliofuatilia kupitia azam tumeenjoy kuanzia mpangilio wa urushaji wao matangazo mpaka quality ya audio na video.
Azam wako international sana
Hii tambia ya CLOUDS TV kuzima matangazo ya mkutano mkuu kila akitajwa Msanii wa WCB wanakata matangazo wana mana gani wadau hii imekaaje mana kama wameaua kurusha matangazo chochote kitachoendelea wanatakaiwa kutupa kila kina choendelea lkn wageni wamepanda jukwaa akina Alikiba ,Billnas na wegne lkn alipopanda Diamond na zuchu walizima matagazo
Nawasilisha hoja wadau imekaae hii
 
taratibu basi...."tambia, wameaua, wegne, matagazo, imekaae" ndiyo nini sasa?
 
Back
Top Bottom