Clouds TV wamekatisha matangazo ya moja kwa moja baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani

Niache Nteseke Hiyo barua imekuja baada ya kukaa mwaka mzima bila ngoma zao kupigwa Wcb wakaa wauliza sababu zipi zilizowafanya kutopiga ngoma zao kwa muda wote huo hii ndio hoja ya msingi sio takataka uliondika.

Ile ni radio ya biashara na ina taratibu zake kama walikiuka taratibu ambazo mimi na wewe hatuzijui hakuna haja ya kulia kulia kama mtoto wa kike anayelilia dudu eti kwa nini ngoma zao hazipigwi.

Kila sehemu zina taratibu zake na usifkiri mambo yanajiendea tu hovyo hovyo kila kitu kinaenda kwa taratibu maalum na sio vinginevyo hata kidogo.

Mimi kama baba nna maamuzi ndani ya nyumba nini kifanyike na kipi kisifanyike siwezi kupangiwa na jirani mambo yanayoihusu nyumba yangu.
 
Hahahaa,, Wamekata tena muda huu kwenye hii hafla ya kutembelea Ikulu wakati Diamond anapanda jukwaani..!!

CHUKI za kijinga kweli kweli
 
Ile ni radio ya biashara na ina taratibu zake kama walikiuka taratibu ambazo mimi na wewe hatuzijui hakuna haja ya kulia kulia kama mtoto wa kike anayelilia dudu eti kwa nini ngoma zao hazipigwi.

Kila sehemu zina taratibu zake na usifkiri mambo yanajiendea tu hovyo hovyo kila kitu kinaenda kwa taratibu maalum na sio vinginevyo hata kidogo.

Mimi kama baba nna maamuzi ndani ya nyumba nini kifanyike na kipi kisifanyike siwezi kupangiwa na jirani mambo yanayoihusu nyumba yangu.
Hao hata wasipopiga Ngoma zao hazimpunguzii kitu Diamond na WCB kwa ujumla
 
😆😆😆😆😆

Usipofata taratibu zilizowekwa watu hawawezi kufata vile unavyotaka wewe, kama haiwapunguzii sasa mapovu yanayowatoka wafuasi wa domo yanatokea wapi...?
 
Hao jamaa Ni wapuuzi wasio na akili hata kidogo hawana tofauti na wachawi kutorusha live performance ya Diamond sijui inawapa faida gani?
Wewe kijana una degree ngapi za ujinga?..

Wamepigwa stop kurusha content za WCB unataka warushe wafunguliwe kesi?..

Kusaga mwenyewe amesha-adress hii ishu na mtu waliyekua na ugomvi naye amesha-rest in peace ila WCB bado hawataki content zao zirushwe Clouds
 
Waseme sababu za kwanini walikuwa hawapigi ngoma za WCB?
 
Mwaka jana mwishoni uongozi wa WCB Wasafi kupitia mwanasheria wao walipeleka barua Clouds Media kuwataka wasithubutu kupiga nyimbo au content yoyote inayomuhusu msanii wa WCB akiwepo Diamond.

Hatua kali za kisheria zitachukuliwa endapo Clouds Media watakiuka maelezo hayo.
Walipiga wakaambiwa watoe maelekezo, so acha uwongo, huwezi[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Back
Top Bottom