Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Mwaka jana mwishoni uongozi wa WCB Wasafi kupitia mwanasheria wao walipeleka barua Clouds Media kuwataka wasithubutu kupiga nyimbo au content yoyote inayomuhusu msanii wa WCB akiwepo Diamond.
Hatua kali za kisheria zitachukuliwa endapo Clouds Media watakiuka maelezo hayo.
Nashangaa watu wamekula sabuni mapovu yanawatoka tu.
😃😃😃😃😃