Clouds TV wamekatisha matangazo ya moja kwa moja baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani

Mashabiki maandazi hawatakuelewa. Wamalejaa jazba tu
 
Pengine mitambo ilikata tu kawaida tatzo LA kiufundi ila sababu jukwaani alikuwa bwana Almasi
 
Dah ila sie mashabiki tuna tabu sana naamini kama angeonyeshwa vile vile kungekuja maneno mengine humu
 
Mkuu mbona tangazo la PEPSI kutanga chupa kubwa Baba Lao wanacheza

WCB waliandika official letter kwa Clouds Media kuwa wasipige nyimbo zao na hawakusema matangazo yaliyofanywa na wasanii wa WCB ni nyimbo zilizoimbwa na wasanii wa WCB ndugu.

Sjui umeelewa vizuri mkuu...?
 
WCB waliandika official letter kwa Clouds Media kuwa wasipige nyimbo zao na hawakusema matangazo yaliyofanywa na wasanii wa WCB ni nyimbo zilizoimbwa na wasanii wa WCB ndugu.

Sjui umeelewa vizuri mkuu...?
Niache Nteseke Hiyo barua imekuja baada ya kukaa mwaka mzima bila ngoma zao kupigwa Wcb wakaa wauliza sababu zipi zilizowafanya kutopiga ngoma zao kwa muda wote huo hii ndio hoja ya msingi sio takataka uliondika.
 
Jamaa wanaangaika sana lkn ndo hivo kutokupiga kazi za diamond hakuna negative impact yoyote kwa diamond......lkn wao wanapata negative impact kubwa sana kutopiga kazi za mond
 
Mnalalamika nini wakati mameneja wa wcb walishakataa kazi zao zisipigwe clouds.. Acheni upimbi
 
Wasafi wakiongozwa na platnumz mwenyewe waliwaambia clouds wasirushe kinachowahusu, sioni kosa la clouds hapo
Clouds walianza kutopiga nyimbo za wasafi muda mrefu Sana toa sababu zipi ziliwafanya kutopiga ngoma zao before hata wasafi kutizungumzia Hilo suala.
 
Bila shaka wanajitolea kurusha live mikutano ya CCM, wangekuwa wanalipwa wasingekata
 
Tuliofuatilia kupitia azam tumeenjoy kuanzia mpangilio wa urushaji wao matangazo mpaka quality ya audio na video.
Azam wako international sana

Ndio hawa azam wanaotuonesha giza mpira wa mchana ,utafikiri watu wanacheza jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…