Clouds TV wamekatisha matangazo ya moja kwa moja baada ya Diamond Platnumz kupanda jukwaani

Mambo mengine bhana...kuna Sikh walikua wapo live Xxl ikawa inapigwa ngoma ya Lunya ile freestyle alipotajwa Twangala sura zilionyesha furaha sana dah! Nasubiri kile kipande cha Mwanangu Simba wakanyagie kikaminywa asee nilitukana sana jamaa washamba mno hata ngoma ya Fid ile Fresh alimshirikisha Mond na Rayvanny haipigwi kideo wala Redio
 
Ujinga na wajinga ni mtaji mkuu wa ccm, ndio maana hawataki kuboresha mifumo ya elimu ili hawa wajinga waliojaa kila idara wapate ukombozi wa kifikra.
 
Jamaa anajiita mchambuzi ,lakini akili zake kama za Popoma musiba.
 
Wanajitahidi kuwa KAA, Diamond akipotea watafurahi sana hao.
 
ILI WAONGELEWE LAZIMA WAFANYE FIGISU FIGISU
 
Ilipigwa nyimbo flani hivi kipindi cha power break fast mbele ya kusaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…