Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Kojoa ukalaleKaribu mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kojoa ukalaleKaribu mjini.
Hua sibishani na mashoga square[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hua sijibishani na mashog@
Huwa wanarusha japo kinafki nafkiTBC ulishaona wanarusha habari za CHADEMA?
Ujinga na wajinga ni mtaji mkuu wa ccm, ndio maana hawataki kuboresha mifumo ya elimu ili hawa wajinga waliojaa kila idara wapate ukombozi wa kifikra.Afu hivi vi TV vya Tanzania ni wanafiki wakubwa; vyama vya upinzaji vikiwa na mikutano yao mikuu ya vyama vyao hawasogezi pua; hadi vyama hivi maskini anaamua kurusha online kwa resources zao ndogo; ila kwa CCM wamejazana Dodoma wanapigana vikumbo!!
Kweli kuikomboa nchi hii ni safari ndefu; na yataka moyo maana wanafiki ni wengi.
Jamaa anajiita mchambuzi ,lakini akili zake kama za Popoma musiba.mbona matangazo aloshiriki mondi wanapiga? acha kudanganya watu wale wamejaa roho mbaya na hawajiulizi why tangu waache kupga nyimbo zake ndo anapaa zaidi? wcb waliandika barua wakitaka waambiwe kosa la kutocheza nyimbo zao awali na sio hicho ulichoandika.
hao chuki zinawatafuna.Jamaa anajiita mchambuzi ,lakini akili zake kama za Popoma musiba.
Kwanini hupendi kutumia ile ID yako nyingine ?Clouds ndo waandike ebooooh
ILI WAONGELEWE LAZIMA WAFANYE FIGISU FIGISUHii tambia ya CLOUDS TV kuzima matangazo ya mkutano mkuu kila akitajwa Msanii wa WCB wanakata matangazo wana maana gani wadau hii imekaaje mana kama wameaua kurusha matangazo chochote kitachoendelea wanatakaiwa kutupa kila kina choendelea lkn wageni wamepanda jukwaa akina Alikiba, Billnas na wegne lkn alipopanda Diamond na zuchu walizima matagazo.
Nawasilisha hoja wadau imekaae hii
Kalale bwana mdogo sawa,WCB CHAMA LAOOO.Kwanini hupendi kutumia ile ID yako nyingine ?
Ilipigwa nyimbo flani hivi kipindi cha power break fast mbele ya kusagaMwaka jana mwishoni uongozi wa WCB Wasafi kupitia mwanasheria wao walipeleka barua Clouds Media kuwataka wasithubutu kupiga nyimbo au content yoyote inayomuhusu msanii wa WCB akiwepo Diamond.
Hatua kali za kisheria zitachukuliwa endapo Clouds Media watakiuka maelezo hayo.
umesema mbele ya nani?Ilipigwa nyimbo flani hivi kipindi cha power break fast mbele ya kusaga