ROGATH MCHAU
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 569
- 1,009
ILA MSHIKA RUNGU WA TCRA KWASASA ANAONESHA KAMA ANA HASIRA SANA NA CLOUDS, UTAFIKIRI NA YEYE ANA REDIO AU TV YAKE INAYOSHINDANA NAO KIBIASHARA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikua kwa tv...maybe YouTube unaweza mkuta Kule .bt najua kuchezaTuone hata kapicha mamiii
ushauri kwa clouds leo karushe live mkutano wa chadema dodoma basi ndani ya masaa matatu mtakua mmerudi kwenye form ya ajabu,Hatimaye Clouds Media Group wamemaliza kutumikia adhabu ya kifungo cha siku 7 waliyopewa na TCRA na wamerudi hewani rasmi.
Kinachoendelea sasa luningani ni sherehe ya wafanyakazi baada ya kutoka kifungoni, ni full shangwe.
CCM hoyeeee!
Maendeleo hayana vyama!
Kama Ufipa!Maishani kosa vyoote lkn usiombe ukose akili
Hahahaaaa...... Wewe jamaa we!!ushauri kwa clouds leo karushe live mkutano wa chadema dodoma basi ndani ya masaa matatu mtakua mmerudi kwenye form ya ajabu,
haaha nakapenda sana hako kadada na tunyama twake tuwiliIlikua kwa tv...maybe YouTube unaweza mkuta Kule .bt najua kucheza
Hadi mchonvu? be serious mkuuWatangazaji wote wa clouds ni watafuta teuzi
Kweli, means hamjutii kosa!Kusherehekea baada ya kumaliza adhabu na lenyewe ni kosa. Tunawapiga ban tena
ndio nani huyu? mbona anavuma sanaHivi kuna mwenye namba ya Shangazi Beggie
Nilijua nimeona peke yangu..Ila dizain anajistukia..Jamni Fatima likwata unavaaje hivyo jamani🤭🤭😀😀..khaaa ...
upi huo mkubwa?Kuna wimbo wa Rayvany wenye explicit content, waliupiga kwenye redio yao
ndio nani huyu? mbona anavuma sana