Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mwalimu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Nashukuru sana,sikatwi tena CWT,CWT wamelaaniwa wao na vizazi vyao vyote kwa kutumia VIBAYA hela za wafanyakazi maskini Walimu. MLAANIWE MILELE.
TUCTA ni Marehemu, lini umewasikia?Mkuu TUCTA ilikufa lini?
Ninavyojua TUCTA ni shirikisho la vyama vyote vya wafanyakazi unasemaje imekufa wakati vyama vipo..
Rais Wa TUCTA bado yupo na anasimamia vyama vyote ikiwemo hiyo CWT,TUGHE ,Na TALGWU
Bullying.Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania
Kufanikisha malengo yao wamewachukua Makada wa CCM na kuwapeleka studio kutimiza malengo yao.
Tuliona namna Serikali ilivyokuwa ikibanwa na akina Mgaya wa TUCTA miaka ya nyuma ; maslahi ya wafanyakazi yakawa agenda kwenye mei mosi. Baada ya serikali kuona akina Mgaya wana nguvu wakaweka Makada wa chama cha mapinduzi. Since then hakuna anayeweza kupigania maslahi ya watumishi
Leo CWT wamepata watu wenye msimamo, serikali na chama cha mapinduzi wanaona kama uimara wa viongozi hawa utawasumbua hasa kusimamia fedha za walimu zisiliwe na wajanja.....wakawateua kuwa wakuu wa wilaya ili wakawatumbue , wao wakawa wajanja.......juzi wamewasimamisha kazi bado msimamo wao upo palepale
Leo baada ya mbinu hizi chafu kufeli wameibukia kwenye vyombo vya habari kwa kuandaliwa watu wakusukuma agenda. Clouds wapo behind huu mchezo na soon utaona vyombo vyote vya habari vinaimba huu wimbo kama walivyofanya kuiua TUCTa.....waalimu amkeni mji9ngoze achaneni na huu mfumo wa kuchaguliwa nani wawaongoze. Mtaishia kudharaulika
Hiki chama kimepoteza ushawishi ,afadhali kipindi kile anakiongoza mkoba kilikuwa imaraKuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania
Kufanikisha malengo yao wamewachukua Makada wa CCM na kuwapeleka studio kutimiza malengo yao.
Tuliona namna Serikali ilivyokuwa ikibanwa na akina Mgaya wa TUCTA miaka ya nyuma ; maslahi ya wafanyakazi yakawa agenda kwenye mei mosi. Baada ya serikali kuona akina Mgaya wana nguvu wakaweka Makada wa chama cha mapinduzi. Since then hakuna anayeweza kupigania maslahi ya watumishi
Leo CWT wamepata watu wenye msimamo, serikali na chama cha mapinduzi wanaona kama uimara wa viongozi hawa utawasumbua hasa kusimamia fedha za walimu zisiliwe na wajanja.....wakawateua kuwa wakuu wa wilaya ili wakawatumbue , wao wakawa wajanja.......juzi wamewasimamisha kazi bado msimamo wao upo palepale
Leo baada ya mbinu hizi chafu kufeli wameibukia kwenye vyombo vya habari kwa kuandaliwa watu wakusukuma agenda. Clouds wapo behind huu mchezo na soon utaona vyombo vyote vya habari vinaimba huu wimbo kama walivyofanya kuiua TUCTa.....waalimu amkeni mji9ngoze achaneni na huu mfumo wa kuchaguliwa nani wawaongoze. Mtaishia kudharaulika
Ulitaka uwasikie wapi wakati kila MEI mosi wanaongeaTUCTA ni Marehemu, lini umewasikia?
Ndiyo shida ni viongozi kushindwa kusimamia na kuboresha malengo yaliyokusudiwa kuanzishwa kwa vyama au haya mashirikisho. Kwa sehemu kubwa viongozi waliopo wanatumiwa na wanasiasa (muajiri mkuu) kuhujumu jitihada za wafanyakazi kuwasilisha madai yao. Kudai haki kunaitaji kiongozi jasiri.Kwahyo shida ni Viongozi na Sio Taasisi?
Kikubwa katika TUCTA ni kumuondoa Rais na katibu wake vingine vitakuwa sawa..
Ila kusema TUCTA imekuwa wakati huo TUCTA ndo inasimamia hata hiyo CWT yenu na TUGHE na TALGWU sio sawa