Clouds watoa list ya nyimbo kali mwaka 2021 bila wimbo hata mmoja kutoka WCB

Haqiqaa mkuu nmekupata
 
Hao ndio clouds hapo Zuchu wamemweka wafanayeje,ila ukweli wanaujua Sukari ndio single iliyo kimbiza katika digital platform zote za Tanzania na Kenya na MTV Base Africa katika nyimbo bora za 2021,Sukari ndio nyimbo pekee kutoka Tanzania ikishika nafasi ya 13.

Huko Kenya msanii analipwa kila nyimbo yake ikipigwa radioni nyimbo ya Zuchu Sukari karibia radio zote inashika nafasi ya kwanza.

Ila Sadala aliwaambia yy kama maji hakwepeki.
 
Naunga hoja mkono
 
Haya ni mambo ya business strategy nyie hamjui tu




By the way Pussy on period be good asf, Like D be walkin on red carpet
 
Hebu taja izo ngoma kali unazoamini zitaingia hapo
 
Kabisa mkuu....kuna juhudi za kimakusudi .....ku Mu Upgrade MARIOO
Kuna kosa kumupgrade mtu, ni mbinu ya kumkuza mtu hata wasafi wanaitumia na uwa inafanikiwa. Zuchu alivyotoa single moja tu moja kwa moja walianza mpambanisha na nandy na jay d na ikafanya kazi.
Hivyo kujaribu kumfanya marioo ni mkali sana ni mbinu tu. Inaweza work au ikafail. Ila kindani ndani mwaka huu marioo kafanya poa bia tamu
 
Mbona namba nane ni zuchu kwani yeye amehama WCB lini?
 
Ila mkuu kusema kweli MARIOO ni msanii mmoja mkali Sana Kuna Kali Sana alizifanya

for u

Loyality ya darasa


Beer tamu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…