AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Kwani WCB Wanaimba au WANATUKANA?Je ni kwamba Hawa jamaa bado wana bifu kubwa dhidi ya Diamond plutmumz na menejiment nzima ya WCB. Kwasababu Kuna nyimbo nyingi Kali zilizotoka hapo lkn hakuna hata wimbo mmoja wa member kutoka WCB
Makasiriko kama haya ya clauds ... yanaleta impacts gani kwenye tasnia ya muziki . ...na tasnia ya habari hapa mjini Tanzania?View attachment 2064225
Loyalty kaua sana mle. Jamaa ni mkali inabidi sasa aanze tia juhudi kwenda international.Ila mkuu kusema kweli MARIOO ni msanii mmoja mkali Sana Kuna Kali Sana alizifanya
for u
Loyality ya darasa
Beer tamu ...
Diamond hamuwezi Marioo kwa tungo upo hivyooo kwa Pini za Marioo zinazokuja ni balaaNilichokiona hapo ni kwamba wanatumia nguvu nyingi kumfanya Marioo kuwa Diamond mpya. Sijui, Time will tell. The Kid hana bahati. Anawika TZ tu sio africa.
Kuna ubaya gani ktk hilo? Kama ndio kaimba bia tamu basi inatakiwa awe upgraded zaidi na zaidi. Hao ndio watu wanatakiwa kutuwakilisha kimataifa sio vitu vya ajabu ajabu.Kabisa mkuu....kuna juhudi za kimakusudi .....ku Mu Upgrade MARIOO
Kwakweli, anaimba ushubwada tu.Wamuache tu, kazidisha matusi
Nyimbo zinazo shika Africa 90% hazina tungo kali bali zinakuwaga na biti kali au melody nzuri au vionjo fulani vizuri.Diamond hamuwezi Marioo kwa tungo upo hivyooo kwa Pini za Marioo zinazokuja ni balaa
Marioo ni level nyingine, harmonize hasogei kwa Marioo, kinachowabeba hawa jamaa ni already made publicity wakigusa kitu kinajibuTuanzie hapa kwanza.......Harmonize hamfikii Marioo
Kweli mkuu......hapa cha kutofautisha ni kwamba Kuna mziki wa kibiashara na muziki wa kuimba kimaadili (kina 20% ambao ulikufa kitambo .....Nyimbo zinazo shika Africa 90% hazina tungo kali bali zinakuwaga na biti kali au melody nzuri au vionjo fulani vizuri.
Diamond kutunga zile tungo za Mbagala, kamwambie nk anaweza ila biashara yake kwa sasa haitaji aina hiyo ya mziki. Ila tokea 2013 alivyo toa number one Diamond mziki wake ni very simple, vionjo na tungo fupifupi ili hata asiyejua kiswahili aweze kushika mistari au biti imshike au melody na ndizo zinazo mfanya apate show nyingi.
Ukitizama hit songs za Mario amabazo ni ZIMEVUMA SANA ni Bia tamu na ile aliyoimba na Hanstone Chibonge, sasa jiulize zile zinatungo gani kali?
Weka iyo list kwenye kipindi chako cha redioBaikoko
Iyo
Unachezaje
Tamu .....macvoice ft rayvany
Number one