Clouds watoa list ya nyimbo kali mwaka 2021 bila wimbo hata mmoja kutoka WCB

WCB waweke list yao nao wasiweke msanii kutoka CLOUDS[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Diamond anapenda waendeleze ujinga wao waliouanzsha kipind yupo ruge,ingawaje sasa wanataman bifu liishe lakin domo kawakazia
 
Kwa hiyo huwa unatilia maanani kila wanachofanya/sema clouds?.

Wao wenyewe wanjiita wa michongo kwa hiyo nao watakushangaa wewe.

We toa mchongo uingie kwenye orodha zao.
Wanajiita chupli .....chupli[emoji23][emoji23]
 
WCB waweke list yao nao wasiweke msanii kutoka CLOUDS[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana mkuu.....hapa tunaongelea WCB lebo vs. Clauds media
 
Diamond anapenda waendeleze ujinga wao waliouanzsha kipind yupo ruge,ingawaje sasa wanataman bifu liishe lakin domo kawakazia
Daaaah kipindi kile mondi .....alipitia magumu sana
 

Ni maoni Yao!
 
Na nyie WCB toeni list yenu lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
List ya michongo
 
Walitaka wamumalize kabsa,Ruge alkuwa na roho ya kinyama sana hakuona hatar kuharibu uchumi wa mtu

Mungu saidia diamond alkuwa yuko karibu na watu wote waliokuwa wameushikilia mziki kama kina Tale,Fella
Jamaa alitaka kusujudiwa kwanza
 
List ya mchongo binafsi Sukari ndio ngoma iliyohit Sana kuliko zote hapo ikifuatiwa labda na bia tamu. Kuna ngoma nyingi zimefanya vizuri na hazipo kwenye list yao Cha ajabu kuna ngoma zipo hapo hazistahili kuwepo
 
KWANI WCB WENYEWE WANASEMAJE KUHUSIANA NA HILI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…