New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Hata mm nimeshangaa, maana hapo naona played zeroSasa ulitaka wawe wa kwanza na hawajacheza mechi yoyote ya ligi??? We ni taahira???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm nimeshangaa, maana hapo naona played zeroSasa ulitaka wawe wa kwanza na hawajacheza mechi yoyote ya ligi??? We ni taahira???
Huoni aibu?Mods niwekeeni title vuzuri kabla utopolo hawajaja
Rage apewe phd ya heshimaSasa ulitaka wawe wa kwanza na hawajacheza mechi yoyote ya ligi??? We ni taahira???
Kwa kweli...Rage apewe phd ya heshima
Mnazidi kuthibitisha ukweli wa ile kauli ya RageNawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022View attachment 2411788
Itashukaje daraja wakati haijacheza mechi hata moja?Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022View attachment 2411788
Ila kuna watu mnajua Uzuzu. Timu haijacheza hata Mechi moja point ingepewa bure?Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022View attachment 2411788
Wamechanganyikiwa.Sasa ulitaka wawe wa kwanza na hawajacheza mechi yoyote ya ligi??? We ni taahira???