Club Aficain ni ya Mwisho kwenye Ligi ya Tunisia

Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022.

View attachment 2411788
Utukumbushe na wana nafasi ya Yanga kwenye LIGI ya NBC Tanzania
 
Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022.

View attachment 2411788
Wewe utakuaa taahira sio Bure kacheza mechi ngapi
 
Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022.

View attachment 2411788
Ukistaajabu YA Tff Na Bodi YA ligi kumbe hujayaona YA Tunisia, Sasa inakuwaje timu ishacheza mpaka mechi 5 wengine hata moja hawajacheza?
 
Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022.

View attachment 2411788
Ni kweli kwa mujibu wa hiyo screenshot uliyoweka Club Africaine inaonekana ni ya mwisho. Lakini kama hawajacheza hata mechi moja ni obvious hawawezi kuwa na point wala goli. Kwahiyo nafasi hiyo waliyopo haiwezi kutumika kupima ubora wao dhidi ya hizo timu zingine hapo. Wangekua wamecheza mechi sawa na hizo timu zingine halafu C/Africaine wakawa wa mwisho hapo hoja yako ingekua na mashiko.
 
Mnateseka sana mlivyokuwa mnasema Yanga hapo ndiyo mwisho wake mlikuwa mnamaanisha nini?
 
WE ni idiot, na ma-idiot kama wewe samia anao wengi. Umeshindwa kuangalia imecheza mechi ngapi?
Akili yako na ya mbuzi ni ngoma droo
Uyo anazo akili za kondoo sio mbuzi, mbuzi angalau uwa anajiongeza lakini kondoo ni kondoo tu ajielewi wala ajitambui
 
Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022.

View attachment 2411788
Hukuweza kuona hawajacheza mechi yoyote? siku nyingine uwe serious.
 
Unaliwa nini wewe. Huoni Played (P) hiyo column ya kwanza ni Zero.? Haijacheza mechi yoyote. Shule ulienda kukuza makalio au?
 
Back
Top Bottom