Club Aficain ni ya Mwisho kwenye Ligi ya Tunisia

Kama huo ndo msimamo basi mchambuzi urudi kusoma maana huelewi maana ya played matches. Mtu hajacheza mechi hata Moja ulitaka aongoze kundi Kwa kutumia utashi wakao?
 
Wee jamaa kichwani kuko vizuri kweli,Timu haijacheza mechi hata moja unategemea ipate wapi pointi.
 
Ila kuna watu mnajua Uzuzu. Timu haijacheza hata Mechi moja point ingepewa bure?
 
Leo mtajinyea kwa kupuyanga. Mpaka nawaonea huruma. Yaani nyuzi zimejaa zenu tu kuhusu Yanga. Yaani Leo hamtalala nyie mikia.

Vipi mnavyogongwa na Yanga nyie ni wangapi kwenye ligi?

Mnajisifia hata kwa kuifunga timu iliyofungwa na Numungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…