Club Aficain ni ya Mwisho kwenye Ligi ya Tunisia

Nimeamini Kolo ni Kolo tu. Timu haijacheza Mechi zake za Ligi itakuaje ya kwanza we kumbikumbi?
 
Hawa ndio mashabiki wa thimba ninaowajua Mimi😅😅

Rage tunakukumbuka baba!!
 
WANAWAKE MSHAVAA KANGA MNAANZA KUTOA SIRI SIMBA BHANA ACHA SISI TULE MIHOGO NA SUPU
 
Elimu, elimu, elimu.!

HISABATI ni janga kubwa sana kwa watanzania wengi wewe ukiwa mmojawapo.
 
Mkuu lakini Club Africain hawaja cheza mchezo wowote hapo inaonyesha hiyo
 
Sisi wao kuwa wa mwisho kwenye ligi yao inatuhusu Nini broo

Makolo sijui mnapata wapi nguvu za kupost ujinga wenu humu wakati Singida wamewakwamisha Jana, Wale nyonyo went wamepigwa

Mbaya zaidi mliowaombea mabaya kwa mawifi zenu uarabuni Wameshinda

Kweli akili zenu haziwezi kukaa sawa
 

WE ni idiot, na ma-idiot kama wewe samia anao wengi. Umeshindwa kuangalia imecheza mechi ngapi?
Akili yako na ya mbuzi ni ngoma droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…