Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Hizi Sub za Club Africain zinsonekana kuja kubadilisha mchezo
 
Wachawi ndiyo leo wameshika usukani!
 
Yanga inaonekana game plan yao ni kufika matuta na sio makundi
 
Simba kwa ilivyocheza leo ingepewa club African ingekufa
 
Yaani hapo alipoingia ki Aziz ndio alipobugi huyo profesa wa mchongo.. msije sema sikuwaambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…