Tumepita mkuu, Mungu MkubwaHii timu mlikuwa mnaipaisha sana. Watu wa mpira tulishaigundua ni timu ya kawaida sana kupitia mchezo wao wa awali.
Ahueni heshima itarudi iwapo tutaingia makundi. Maana siyo kwa yale masimango yenu.
Ndio mtafute machaka.Mama yangu hakulaliki kesho daaah
Miaka yote mimi niko Yanga. Muulize New City atakwambia...Ahahaha mbona unasemaleo!!
Ww ni mshindi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Kuna watu wataukimbia huu uzi YANGA lazima ishinde leo
Hongereni Wananchi! Hongereni wachezaji, benchi la ufundi! Hongereni viongozi na wadhamini wote mliofanikisha kupatikana kwa huu ushindi.FT
CA 0-1 Yanga
Weka Music DJ
Huwezi kuwaonaNawasubiri wale waanzisha nyuzi za Nabi ajiudhuru, sijui Leo wanakuja na nini
Leo kwa kweli tumeupigaKweli kbs, mm ni simba lkn leo yanga kacheza vzr na nimefurahia sn wao kupita ili waongeze point mwakani tupeleke tena timu 4