Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Mnapangiwa lini wa kucheza nao ili tujue kama tunainua tanga kumbe marehemu hakufa alizimia tuu au tuendelee kusubirisubiri labda atadedi kabisa kwenye hatua ya makundi?
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Ngoja niangalie status za watu wangu wa Utopo naona kumejaq njano na kijanii.
 
Back
Top Bottom