Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Yanga wakipita leo itahitaji kuyaangalia matukio ya hivi karibuni hapa nchini kwa jicho la tofauti.
 
Yanga wakishinda na kuwatoa waarabu sitashangaa

Club Africain nao wakishinda na kufanikiwa kuwatoa Yanga napo sitashangaa

Kwanini?

Kwasababu zote ni timu mbovu

Credit Miraji kutoka Shafii Dauda online TV
 
Lazm hyo klbu ikalie kocha wao ameumwa ghafla na nabii ata taka kuhakikishakuwa nyumbani anapewa heshima yake hvyo Ni juu chini kuhakikisha kuwa Ana win win
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…