Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hawa waarabu kama wanazingua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatofufuka ila unawapa faraja wafiwa na sio kuwaongezea maumivu mioyoni mwao.Kwaio nikiwa muungwana watafufuka? Nipe mwongozo
Mmetoka madimbwini sasaMikia mbona mmenuna sana,oneni mpira boli
Bila kuwakosea adabu mbumbumbu,wale dada zao wanacheza vizuri kuliko mabro wao.......Simba Queen wametolewa
ukweli wamejitahidi nilijua watapigwa nyingi ila haikuwa ivoSimba Queen wametolewa
Unaupiga mwingi namshangaa siku ile eti kim polsen alimuweka benchi mechi dhidi ya algeria
Anataka umaarufu wa kijinga jf.Kuna watu ni Mafala sana, acha tu mkuu
Huyu ndo wanamwitaga kiungo nyanyachungu?
We waponzeYanga mpaka Sasa mnaweza kufanya kitu.
Tunakaribia Dodoma toka SingidaMmetoka madimbwini sasa
Ww mama vipi umeacha kumpikia mumeo cha jioni unahangaika na mipira utaachika!Ila uto mnanini na kipindi cha kwanza? Imekua trend kutofunga
Bamia,anateleza tu kama kapakwa mafuta mwili mzimaHuyu ndo wanamwitaga kiungo nyanyachungu?
Watarudi vidimbwini kipindi cha piliMmetoka madimbwini sasa
Msisahau kubadili maji yasijekua ya moto sana ngozi zenu zikatokaTunakaribia Dodoma toka Singida
Wamekosa magoli mengi ya waziukweli wamejitahidi nilijua watapigwa nyingi ila haikuwa ivo
ila ukweli nimefurahi vile imetoka
Hapa Liti ni KiangaziMsisahau kubadili maji yasijekua ya moto sana ngozi zenu zikatoka
Mechi hapa haijaisha lakiniBila kuwakosea adabu mbumbumbu,wale dada zao wanacheza vizuri kuliko mabro wao.......