Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kwamba kombe la loosers?Tupo humu sambamba na walioliona jua siku ya leo hahahhah
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kombe la loosers?Tupo humu sambamba na walioliona jua siku ya leo hahahhah
Ila cha moto tumekiona kutoka kwa mashabiki wa mbumbumbu fc! Hii wiki ilikuwa ni ya moto! Yaani nyuzi ni bandika bandua! Zote ni za kuiponda Yanga, viongozi wake na kocha Nabi!Tumepita mkuu, Mungu Mkubwa
Hongera mwananchi kwa kweli mmepindua zulia waarabu hawaamini kabisa kilichotokea. Walidhani nyie ni kipanga watajipigia tuuNina raha hapa, sasa naweza kufungua Baileys Irish cream yangu kwa amani... karibu 😉
Maneno yenu yalikuwa juu utazani povu la chungu cha makandeJamani Yanga kwakweli mlisubiria kwa hamu huu ushindi. Yani huko nje kama vile watu wamechukua kombe la dunia mweee.
Naona chura mkuu umetoka dimbwini kwa bashasha sasa. Waambie wabebe mihogo mingi huko huku kiangazi.Ila cha moto tumekiona kutoka kwa mashabiki wa mbumbumbu fc! Hii wiki ilikuwa ni ya moto! Yaani nyuzi ni bandika bandua! Zote ni za kuiponda Yanga, viongozi wake na kocha Nabi!
Sijui ni kwa nini Singida Big Stars hawakukomaa ili waondoke na point zote 3! Maana tungejumlisha na kipigo cha dada zao! Halafu na huu ushindi wa Wananchi! Hakika kesho habari ingekuwa ni ya kumkataa Mgunda, Matola na Barbra.
Marehemu amezikiwa makaburi ya TunisiaHatusafirishi maiti tunazika huko huko, marehemu alikuwa na mdomo sana
NawakumbushaNaona viherehere mmejazana baadae itakua aibu
Litakufa jitu pale kwa Mikia nimekaa mtaa Twiga hapaNa hapa ni makundi
Kumbuka sio ya Club bingwa bali ni haya haya waliyoayaita loser
Sasa hawa watu wakichukua hili kombe hali itakuwaje?
Muda umesema mkuu.Makolo hii Yanga inawaumiza sana vichwa. Yote hii ni propaganda mkiamini kaka yenu hatoboi Tunisia.
Muda utasema
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa walituandama, yaani Kila ukiingia sports forum ni Habari za kututukana yanga utasema tumewakosea nini.Ila cha moto tumekiona kutoka kwa mashabiki wa mbumbumbu fc! Hii wiki ilikuwa ni ya moto! Yaani nyuzi ni bandika bandua! Zote ni za kuiponda Yanga, viongozi wake na kocha Nabi!
Sijui ni kwa nini Singida Big Stars hawakukomaa ili waondoke na point zote 3! Maana tungejumlisha na kipigo cha dada zao! Halafu na huu ushindi wa Wananchi! Hakika kesho habari ingekuwa ni ya kumkataa Mgunda, Matola na Barbra.
Kumbe warembo wa yanga mpo wengi humu🤣🤣🤣