Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Jamani Yanga kwakweli mlisubiria kwa hamu huu ushindi. Yani huko nje kama vile watu wamechukua kombe la dunia mweee.
 
Tumepita mkuu, Mungu Mkubwa
Ila cha moto tumekiona kutoka kwa mashabiki wa mbumbumbu fc! Hii wiki ilikuwa ni ya moto! Yaani nyuzi ni bandika bandua! Zote ni za kuiponda Yanga, viongozi wake na kocha Nabi!

Sijui ni kwa nini Singida Big Stars hawakukomaa ili waondoke na point zote 3! Maana tungejumlisha na kipigo cha dada zao! Halafu na huu ushindi wa Wananchi! Hakika kesho habari ingekuwa ni ya kumkataa Mgunda, Matola na Barbra.
 
Na hapa ni makundi

Kumbuka sio ya Club bingwa bali ni haya haya waliyoayaita loser

Sasa hawa watu wakichukua hili kombe hali itakuwaje?
 
Ila cha moto tumekiona kutoka kwa mashabiki wa mbumbumbu fc! Hii wiki ilikuwa ni ya moto! Yaani nyuzi ni bandika bandua! Zote ni za kuiponda Yanga, viongozi wake na kocha Nabi!

Sijui ni kwa nini Singida Big Stars hawakukomaa ili waondoke na point zote 3! Maana tungejumlisha na kipigo cha dada zao! Halafu na huu ushindi wa Wananchi! Hakika kesho habari ingekuwa ni ya kumkataa Mgunda, Matola na Barbra.
Naona chura mkuu umetoka dimbwini kwa bashasha sasa. Waambie wabebe mihogo mingi huko huku kiangazi.
 
Ila cha moto tumekiona kutoka kwa mashabiki wa mbumbumbu fc! Hii wiki ilikuwa ni ya moto! Yaani nyuzi ni bandika bandua! Zote ni za kuiponda Yanga, viongozi wake na kocha Nabi!

Sijui ni kwa nini Singida Big Stars hawakukomaa ili waondoke na point zote 3! Maana tungejumlisha na kipigo cha dada zao! Halafu na huu ushindi wa Wananchi! Hakika kesho habari ingekuwa ni ya kumkataa Mgunda, Matola na Barbra.
Jamaa walituandama, yaani Kila ukiingia sports forum ni Habari za kututukana yanga utasema tumewakosea nini.
Ngoja turudi kuongeza gape la point pale juu na huku tukaendelea kupata hewani
 
Back
Top Bottom