Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

Hizi mechi ni za Simba Yanga wakubali. Ila leo wamegomaaa
 
Nilisema Claab Afrique Haina maajabu Kwa Ile mechi ya hapa nyumbani. Nilitegemea Uto wapate matokeo. Ingekuwa ajabu sana wasingeshinda.
 
Majirani hongereni sana.
Mmewakilisha Taifa hata kama Team inafanana na Ihefu..mmngepigwa tungesema tu nako.
Inatia faraja Tanzania tukiwa tunakilisha kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom