OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naomba namba za refa zabron yawezekana ana connection na refa atakaechezesha.
View attachment 2402802
Namba sina
Bahasha kama bahashaNaona baada ya ushindi wa kubebwa na mwamuzi kupitia zile kadi mbili nyekundu, sasa mambo ni shwari!
Hatusikii tena zile kelele za Jonas Mkude na Erasto Nyoni kuwa ni wazee!! Badala yake habari ya mjini kwenu kwa sasa ni Yanga dhidi ya Club Africains ya Tunisia!!
Hakika mnastahili kabisa kuitwa mbumbumbu.
...Naona baada ya ushindi wa kubebwa na mwamuzi kupitia zile kadi mbili nyekundu, sasa mambo ni shwari!
Hatusikii tena zile kelele za Jonas Mkude na Erasto Nyoni kuwa ni wazee!! Badala yake habari ya mjini kwenu kwa sasa ni Yanga dhidi ya Club Africains ya Tunisia!!
Hakika mnastahili kabisa kuitwa mbumbumbu.
Elezea 'utata' wa zile kadi nyekundu.Naona baada ya ushindi wa kubebwa na mwamuzi kupitia zile kadi mbili nyekundu, sasa mambo ni shwari!
Hatusikii tena zile kelele za Jonas Mkude na Erasto Nyoni kuwa ni wazee!! Badala yake habari ya mjini kwenu kwa sasa ni Yanga dhidi ya Club Africains ya Tunisia!!
Hakika mnastahili kabisa kuitwa mbumbumbu.
Sasa hivi wanasema Mgunda anatosha hawana haja ya kutafuta Kocha mwingine.Naona baada ya ushindi wa kubebwa na mwamuzi kupitia zile kadi mbili nyekundu, sasa mambo ni shwari!
Hatusikii tena zile kelele za Jonas Mkude na Erasto Nyoni kuwa ni wazee!! Badala yake habari ya mjini kwenu kwa sasa ni Yanga dhidi ya Club Africains ya Tunisia!!
Hakika mnastahili kabisa kuitwa mbumbumbu.
View attachment 2402778
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.
Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
Hilo lipo wazi kabisa...Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Mwiko nyuma wameuwekaHakika utopolo mwendo wameumaliza