Club African watua, Yanga Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Club African watua, Yanga Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

View attachment 2402778

Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.

Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
We mbwiga kila unachoongea na popoma wako kule juu vinawaumbua. Lakini hamchoki na hamuoni aibu kutwa mnavyoumbuliwa. YANGA hii utaumiza sana moyo wako. Imekujibu uwanjani YANGA sio kama mikia ya bahasha na yule mwamuzi wenu wa mchongo
 
Unapayuka uwe unashirikisha akili wakati mwingine
Umekuwa kichekesho kila kukicha
 
Back
Top Bottom