Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbwiga kila unachoongea na popoma wako kule juu vinawaumbua. Lakini hamchoki na hamuoni aibu kutwa mnavyoumbuliwa. YANGA hii utaumiza sana moyo wako. Imekujibu uwanjani YANGA sio kama mikia ya bahasha na yule mwamuzi wenu wa mchongoView attachment 2402778
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.
Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi