Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Yani Apo mwisho uto umewakata mainiUkiangalia kwa mbali unaweza kudhani kuwa Yanga inaenda kufungwa hii mechi ila ukisogea karibu utajua kuwa ni kweli anaenda kufungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani Apo mwisho uto umewakata mainiUkiangalia kwa mbali unaweza kudhani kuwa Yanga inaenda kufungwa hii mechi ila ukisogea karibu utajua kuwa ni kweli anaenda kufungwa
Jamani jamani Bado hawajamaliza mwendo😂😂Hakika utopolo mwendo wameumaliza
Tumeanza kuandaliwa kisaikolojiaYanga sio mbumbumbu fc.View attachment 2403953
Ana balaa huyo, anajua huyo [emoji23][emoji23]Mkuu naomba nitabirie mabaya niwe masikini ..maana utabiri wako unaenda vice versa
Wewe ni bingwa wa kuanzisha nyuzi za kiwaki. Uzi huu umeukimbia, ule mwingine wa Kibu Denis na Mayele nako umetoroka.View attachment 2402778
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.
Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
AiseeWazee wa unbeaten ya kununua hawatapata hata goli
Mkuu shida nini? Mbona maiti alishaoza unaenda fukua kaburi?Aisee