Club African watua, Yanga Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Club African watua, Yanga Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Tutadhibitisha mpira ni matokeo matatu!kama ambavyo tulifungwa na azam na kukubali kabisaa kuwa Mgunda ana uwezo mkubwa sema tu mpira una matokeo matatu!na pia hatukatai kuwa mpaka kufika makundi tulipangiwa vibonde sanaa
Unajua ili upate vibonde unapaswa kufanya nini?
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Naona baada ya ushindi wa kubebwa na mwamuzi kupitia zile kadi mbili nyekundu, sasa mambo ni shwari!

Hatusikii tena zile kelele za Jonas Mkude na Erasto Nyoni kuwa ni wazee!! Badala yake habari ya mjini kwenu kwa sasa ni Yanga dhidi ya Club Africains ya Tunisia!!

Hakika mnastahili kabisa kuitwa mbumbumbu.
 
View attachment 2402778

Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.

Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
hii game yanga anashinda kweupeee.
 
Dah......poleni watani maana hawa jamaa watawachakaza mpaka mtatamani manara aje adake nae siku hiyo maana km sio 4 basi 2 ila kwao kule 6 zinawahusu
 
Nakumbushia tu kwamba nimeanza kushabikia club Africanis toka mwaka 1999
 
Sema Hawa uto Wana kimdomo Sana juz tumepoteza na Azam wameongea Sana nikir Waz safar ntawapondea Sana na kuwaombea wapigwe nje ndan warud lig kuu tu kuhonga marefa
 
Kwikwikwi mtaliaa aah
Kwikwikwi mwiko uingiapooo ooh
Uto mtazunguuuka zungukaa
Kesho mtazunguuka zunguuka yote kwa ajili ya mwikoo

Na mwiko ulivyolong wakwangua makokoo
Tsunami itanyesha kuharibu tandiko

Kwikwikwi uto kesho mtaliaa
Kwikwikwi uingiapo mwikooo ooh
 
Back
Top Bottom