Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ha ha ha ha[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha[emoji23]
Mpira sio matusi, dada kuwa mstaarabu, heshima ni kitu ch bureUtopolo jiandae vizuri waume zenu wamekuja...
Semeni wenyewe kama wawafukunyue bila kilainishi au wapake.....
vyovyote vile, tulien iwaingie yote...
MAKOLO WOTE NINA SWALI KWENU?zile kelele za kumkataa Mgunda bado zipo huko kwenu??View attachment 2402778
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.
Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
sheria haipingwi kuna mtu anaenda kupigwa Knock Out ya mdundikoView attachment 2402778
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.
Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
Utashangaa pale muarabu atakapo pigwa mkono. Mayele anapia tatu, fei toto mbili. Makolo ndiyo mtajua hamjuiView attachment 2402778
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.
Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
Kelele? Wazitoe wapi? Baada ya kumpiga mtibwa mkono wameufytaMAKOLO WOTE NINA SWALI KWENU?zile kelele za kumkataa Mgunda bado zipo huko kwenu??
Safari hii wanapigwa nje ndani ovaView attachment 2402778
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.
Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
Kama umeumizwa na ile khamsa aliopigwa nayo mtibwa basi nakukumbusha tu na wewe ulipigwa khamsa na mnyama simbaNaona baada ya ushindi wa kubebwa na mwamuzi kupitia zile kadi mbili nyekundu, sasa mambo ni shwari!
Hatusikii tena zile kelele za Jonas Mkude na Erasto Nyoni kuwa ni wazee!! Badala yake habari ya mjini kwenu kwa sasa ni Yanga dhidi ya Club Africains ya Tunisia!!
Hakika mnastahili kabisa kuitwa mbumbumbu.
Kweli kabisa maana zile khamsa za mtibwa zimenikumbusha tulivyowapiga nyie khamsa 2012Kelele? Wazitoe wapi? Baada ya kumpiga mtibwa mkono wameufyta
Mtihani ngumu kwa Nab. Akifungwa Kuna mawili:View attachment 2402778
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.
Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
Tutadhibitisha mpira ni matokeo matatu!kama ambavyo tulifungwa na azam na kukubali kabisaa kuwa Mgunda ana uwezo mkubwa sema tu mpira una matokeo matatu!na pia hatukatai kuwa mpaka kufika makundi tulipangiwa vibonde sanaaMtihani ngumu kwa Nab. Akifungwa Kuna mawili:
. Tutahitinisha kuwa Hana uwezo,
. Tutasema hawezi kubali timu ya Tunisia itolewe.
Ngoja inyeshe tuona matundu
Mtakaa kimyaa MAKOLO FC NYIEEView attachment 2402778
Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema...
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5.
Mtanisamehe tu,ila ukweli Sioni Yanga itatokea wapi
Labda yanga wapewe penati 8 na huyo refa kwa sababu hao africaine kumpiga uto 7 ni dakika sifuriMkakati:Mbinu zinazotumika Tanzania na Yanga kupata ushindi zitumike mechi na club Africains.[emoji116]
1)marefaree wa mchezo wasajiliwe haraka sana laini ya tigopesa.
2)hoteli watakayofikia iwe karibu na mtaa wa Saramander ili iwe rahisi kuweka michongo sawa ya mbambamba.
hapo kazi kwisha Yanga kupewa penati ni 99%.
Yanga daima mbele wanazamishwa mwiko,,,,nyuma mwiko na katikati mwiko.
Zalan ndo sio vibondeTutadhibitisha mpira ni matokeo matatu!kama ambavyo tulifungwa na azam na kukubali kabisaa kuwa Mgunda ana uwezo mkubwa sema tu mpira una matokeo matatu!na pia hatukatai kuwa mpaka kufika makundi tulipangiwa vibonde sanaa