CNN and Coronavirus: Africa in existential threat

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below:

WHO USES EXISTENTIAL THREAT?

The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action.

Pascal Mayalla Ni kweli uhai wetu unaweza kuwa extinct na Corona?
 
Waafrica ...corona ingetusamehee tu maana , nikiona watu wanavyoishi maisha ya kuunga unga + corona naumia sana roho.
Upo sahihi ndugu Yangu maana Sisi waafrica maisha tunayoishi ni zaidi ya corona sasa huo mziki ukianza Kwa Kasi hapa Africa itakuwa mshike-mshike.
Tuendelee kumwomba MUNGU ili atuepushie mbali na Hilo janga
 
Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below:

WHO USES EXISTENTIAL THREAT?

The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action.
Pascal Mayalla Ni kweli uhai wetu unaweza kuwa extinct na Corona?
Ukiweka bandiko jaribu kutufikiria na sie wa std vii mkuu. Sasa hapo ndo maana yake nini?
 
Wako sahihi sana hao maana mpaka sasa haileti mantiki kwanini hatujafa milioni 10 Afrika, na hatuendelei kufa kwa laki tano kila siku.
Huu ugonjwa unawatesa mataifa yenye uwezo mara 1,000 zaidi yetu Afrika, na ukweli hamna kikubwa tunachokifanya kuzuia, Waafrika tupo tupo siku zinaenda, Corona yenyewe inatupapasa wala haijaonyesha makucha huku mpaka sasa.
Ukitembea mtaani uone tunavyoishi, hata kwa wale ambao wamechukua tahadhari ya hali ya juu Afrika, bado hawajafikia hata robo ya wanachokifanya wale wenye kufa Ulaya.
Hiki kitu jameni wazungu wagundue dawa mapema kabla hakijapata sababu za kutukondolea macho Afrika, maana sisi wenyewe hatuna uwezo hata wa kutengeneza dawa za aina ya panadol.
 
Mkuu Wacha dharau.
 
Ukimfahamu adui yako ni rahisi kumwepuka. Watanzania tumeshagundua huu ugonjwa unaenezwaje hivyo ni jukumu letu kujikinga kwa njia zozote zile ili tusidhurike. Nawa mikono na sabuni, usishike mdomo, pua macho na uso wako wakati mikono yako sio safi. Usikumbatiane na mtu yeyote ambaye huishi naye anaweza kukuambukiza. Sasa tukishindwa kufanya hivi then tunasubiri mujiza? Watanzania tumeweza vingi itatushinda Corona? Tuache ujinga? Hii ni self hygiene ambayo tulifundishwa tangu tupo primary!
 
shida ya hii kitu huwa inaanza kama haitaki, ila tuombe tu iishie hivyo vinginevyo tutapata taabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawe mjinga vile vile, primary hapakuwa na threat ya Corona. Hatukufundishwa kunawa kila wakati kila wakati.kila wakati..........nadhani wewe umesoma Nguin..... Dunia haikuwa kwenye taharuki.....

Sasa huko shule ulikwenda kufanya nini? Kwa maneno mepesi ili ufahamu, hukufundishwa kunawa mikono kabla ya kula wakati upo primary school? Kukufundishwa kufua nguo zako? Hukufundishwa uwe msafi baada ya kutumia choo? Hukufundishwa kwamba unatakiwa kuoga angalau mara mbili kwa siku asubuhi na jioni? Sasa nani mjinga?
 
Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below:

WHO USES EXISTENTIAL THREAT?

The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action.
Pascal Mayalla Ni kweli uhai wetu unaweza kuwa extinct na Corona?
Mkuu nadhani wapo sahihi hasa ukizingatia ukweli kuwa wengi tunaishi maisha ya kubangaiza... Lockdown ikipigwa ya wiki tu sidhani kama tutatoboa... Hospitalini huko majanga... Mitaani tu shida ya njaa, maji safi na maradhi ndo usiseme...
Usalama wa ajira na akiba binafsi ni changamoto kubwa sana (na hii ni common scene without a deadly pandemic)...
Binafsi nikiyawaza maisha baada ya Covid-19 kwa wale watakao kuwa hai moyo unaingia simanzi...
Lakini kwa kuwa tumelelewa katika misingi ya kumwamini Mungu basi tuendelee kufanya hivyo...!!
Ila kikubwa nadhani hao CNN wapo sahihi kuwaza walivyo waza...
Tusikatae ukweli!
 
hukufundishwa kunawa mikono kabla ya kula wakati upo primary school?
Huwezi kulinganisha tulivyofundishwa kunawa mikono kama tunavyosisitizwa kwenye pandemic kama hii. This is not routine kama kunawa mikono wakati wa kula!
 
Mkui nadhani wapo sahihi hasa ukizingatia ukweli kuwa wengi tunaishi maisha ya kubangaiza... Lockdown ikipigwa ya wiki tu sidhani kama tutatoboa... Hospitalini huko majanga... Mitaani tu shida ya njaa, maji safi na maradhi ndo usiseme...
Usalama wa ajira na akiba binafsi ni changamoto kubwa sana...
Binafsi nikiyawaza maisha baada ya Covid-19 kwa wale watakao kuwa hai moyo unaingia simanzi...
Lakini kwa kuwa tumelelewa katika misingi ya kumwamini Mungu basi tuendelee kufanya hivyo...!!
Ila kikubwa n
Umenifikirisha sana!
 
Ukimfahamu adui yako ni rahisi kumwepuka. Watanzania tumeshagundua huu ugonjwa unaenezwaje hivyo ni jukumu letu kujikinga kwa njia zozote zile ili tusidhurike. Nawa mikono na sabuni, usishike mdomo, pua macho na uso wako wakati mikono yako sio safi. Usikumbatiane na mtu yeyote ambaye huishi naye anaweza kukuambukiza. Sasa tukishindwa kufanya hivi then tunasubiri mujiza? Watanzania tumeweza vingi itatushinda Corona? Tuache ujinga? Hii ni self hygiene ambayo tulifundishwa tangu tupo primary!
Hivi vinakaa popote hivyo zoezi bado zito mana unaweza kuviokota popote tuombe visi tuvamie tu maana tutakwisha
 
Binadamu ana mucus kwenye njia ya hewa, hii ni sehemu ya kinga ya mwili. Hewa ikiingia na uchafu unakamatwa na mucus na uchafu ule unautoa kama kohozi.

Mucus goblets zikishambuliwa na virus ndiyo mafua yanachuruzika na huweza kukohoa. Maambukizi yakitokea kwenye mucus membrane husababisha kikohozi. Ndiyo maana unatumwa kikohozi ili wataalamu wagundue ni maambukizi gani.

Covid-19 hushambulia njia ya hewa na maambukizi huleta joto mpaka centi grade 38-39. Mucus goblets zinashambuliwa kwa kasi na Hutoa makohozi. Mapafu hukosa oxygen.

Afrika maisha yetu ni ya kufanya maoezi muda wote. Si kwa kupenda ni lazima utembee kwakuwa huna nauli ya basi na Gari huna. Mapafu yanakuwa imara. Pia vyakula tunavyokula ni organic.
 
Back
Top Bottom