Mheshimiwa havioni, anaona kawaida tu!Waafrica ...corona ingetusamehee tu maana , nikiona watu wanavyoishi maisha ya kuunga unga + corona naumia sana roho.
soma post #44 kenye thread hiiMh wetu Jambazi tu
Upo sahihi ndugu Yangu maana Sisi waafrica maisha tunayoishi ni zaidi ya corona sasa huo mziki ukianza Kwa Kasi hapa Africa itakuwa mshike-mshike.Waafrica ...corona ingetusamehee tu maana , nikiona watu wanavyoishi maisha ya kuunga unga + corona naumia sana roho.
tuombe sana tena sanaUpo sahihi ndugu Yangu maana Sisi waafrica maisha tunayoishi ni zaidi ya corona sasa huo mziki ukianza Kwa Kasi hapa Africa itakuwa mshike-mshike.
Tuendelee kumwomba MUNGU ili atuepushie mbali na Hilo janga
Ukiweka bandiko jaribu kutufikiria na sie wa std vii mkuu. Sasa hapo ndo maana yake nini?Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below:
WHO USES EXISTENTIAL THREAT?
The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action.
Pascal Mayalla Ni kweli uhai wetu unaweza kuwa extinct na Corona?
Mkuu Wacha dharau.Wako sahihi sana hao maana mpaka sasa haileti mantiki kwanini hatujafa milioni 10 Afrika, na hatuendelei kufa kwa laki tano kila siku.
Huu ugonjwa unawatesa mataifa yenye uwezo mara 1,000 zaidi yetu Afrika, na ukweli hamna kikubwa tunachokifanya kuzuia, Waafrika tupo tupo siku zinaenda, Corona yenyewe inatupapasa wala haijaonyesha makucha huku mpaka sasa.
Ukitembea mtaani uone tunavyoishi, hata kwa wale ambao wamechukua tahadhari ya hali ya juu Afrika, bado hawajafikia hata robo ya wanachokifanya wale wenye kufa Ulaya.
Hiki kitu jameni wazungu wagundue dawa mapema kabla hakijapata sababu za kutukondolea macho Afrika, maana sisi wenyewe hatuna uwezo hata wa kutengeneza dawa za aina ya panadol.
soma post #44 kenye thread hii
Aliyesema kaugonjwa kenyewe ni kadogo kuliko Mafua; Alifanya makosa makubwa kuipotosha Jamii - JamiiForums
shida ya hii kitu huwa inaanza kama haitaki, ila tuombe tu iishie hivyo vinginevyo tutapata taabu sanaWako sahihi sana hao maana mpaka sasa haileti mantiki kwanini hatujafa milioni 10 Afrika, na hatuendelei kufa kwa laki tano kila siku.
Huu ugonjwa unawatesa mataifa yenye uwezo mara 1,000 zaidi yetu Afrika, na ukweli hamna kikubwa tunachokifanya kuzuia, Waafrika tupo tupo siku zinaenda, Corona yenyewe inatupapasa wala haijaonyesha makucha huku mpaka sasa.
Ukitembea mtaani uone tunavyoishi, hata kwa wale ambao wamechukua tahadhari ya hali ya juu Afrika, bado hawajafikia hata robo ya wanachokifanya wale wenye kufa Ulaya.
Hiki kitu jameni wazungu wagundue dawa mapema kabla hakijapata sababu za kutukondolea macho Afrika, maana sisi wenyewe hatuna uwezo hata wa kutengeneza dawa za aina ya panadol.
Nawe mjinga vile vile, primary hapakuwa na threat ya Corona. Hatukufundishwa kunawa kila wakati kila wakati.kila wakati..........nadhani wewe umesoma Nguin..... Dunia haikuwa kwenye taharuki.....Hii ni self hygiene ambayo tulifundishwa tangu tupo primary!
Just skip!Ukiweka bandiko jaribu kutufikiria na sie wa std vii mkuu. Sasa hapo ndo maana yake nini?
Nawe mjinga vile vile, primary hapakuwa na threat ya Corona. Hatukufundishwa kunawa kila wakati kila wakati.kila wakati..........nadhani wewe umesoma Nguin..... Dunia haikuwa kwenye taharuki.....
Mkuu nadhani wapo sahihi hasa ukizingatia ukweli kuwa wengi tunaishi maisha ya kubangaiza... Lockdown ikipigwa ya wiki tu sidhani kama tutatoboa... Hospitalini huko majanga... Mitaani tu shida ya njaa, maji safi na maradhi ndo usiseme...Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below:
WHO USES EXISTENTIAL THREAT?
The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action.
Pascal Mayalla Ni kweli uhai wetu unaweza kuwa extinct na Corona?
Huwezi kulinganisha tulivyofundishwa kunawa mikono kama tunavyosisitizwa kwenye pandemic kama hii. This is not routine kama kunawa mikono wakati wa kula!hukufundishwa kunawa mikono kabla ya kula wakati upo primary school?
Umenifikirisha sana!Mkui nadhani wapo sahihi hasa ukizingatia ukweli kuwa wengi tunaishi maisha ya kubangaiza... Lockdown ikipigwa ya wiki tu sidhani kama tutatoboa... Hospitalini huko majanga... Mitaani tu shida ya njaa, maji safi na maradhi ndo usiseme...
Usalama wa ajira na akiba binafsi ni changamoto kubwa sana...
Binafsi nikiyawaza maisha baada ya Covid-19 kwa wale watakao kuwa hai moyo unaingia simanzi...
Lakini kwa kuwa tumelelewa katika misingi ya kumwamini Mungu basi tuendelee kufanya hivyo...!!
Ila kikubwa n
Hivi vinakaa popote hivyo zoezi bado zito mana unaweza kuviokota popote tuombe visi tuvamie tu maana tutakwishaUkimfahamu adui yako ni rahisi kumwepuka. Watanzania tumeshagundua huu ugonjwa unaenezwaje hivyo ni jukumu letu kujikinga kwa njia zozote zile ili tusidhurike. Nawa mikono na sabuni, usishike mdomo, pua macho na uso wako wakati mikono yako sio safi. Usikumbatiane na mtu yeyote ambaye huishi naye anaweza kukuambukiza. Sasa tukishindwa kufanya hivi then tunasubiri mujiza? Watanzania tumeweza vingi itatushinda Corona? Tuache ujinga? Hii ni self hygiene ambayo tulifundishwa tangu tupo primary!