mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 899
- 1,761
Mkuu retired 'exisitential threat' kwa kiswahili ina maana gani?Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below:
WHO USES EXISTENTIAL THREAT?
The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action.
Pascal Mayalla Ni kweli uhai wetu unaweza kuwa extinct na Corona?
Ina hatarisha uwepo wetu katika sayari hii ya dunia sisi waafrika. Tunaweza kusiha woteMkuu retired 'exisitential threat' kwa kiswahili ina maana gani?
Ila kuhusu corona Mungu atuepushie hili gonjwa tu, maisha yetu tunayoishi tunafaham wenyew sasa + corona ni balaa tupu kwa kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Africa ipo kwenye hatari ya kupotea/kutowepo kwenye uso wa Dunia.Ukiweka bandiko jaribu kutufikiria na sie wa std vii mkuu. Sasa hapo ndo maana yake nini?
Mkuu retired 'exisitential threat' kwa kiswahili ina maana gani?
Ila kuhusu corona Mungu atuepushie hili gonjwa tu, maisha yetu tunayoishi tunafaham wenyew sasa + corona ni balaa tupu kwa kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below:
WHO USES EXISTENTIAL THREAT?
The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action.
Pascal Mayalla Ni kweli uhai wetu unaweza kuwa extinct na Corona?
Duuh hawa cnn wanatutafuta nin wafrika ila leo asubuh nimetazama aljazira wanasema UK kuna shortage ya medical equipment na New Yorke ICU zipo down zimelemewa, mpaka napatwa na wogaIna hatarisha uwepo wetu katika sayari hii ya dunia sisi waafrika. Tunaweza kusiha wote
Mkuu retired 'exisitential threat' kwa kiswahili ina maana gani?
Ila kuhusu corona Mungu atuepushie hili gonjwa tu, maisha yetu tunayoishi tunafaham wenyew sasa + corona ni balaa tupu kwa kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niwe mkweli, naogopa sana. Umesema kweli kabisa. Bahati nzuri nimesoma microbiology na specialty in virology. These are stubborn genetic entities. Mutation rate ni kubwa , hivyo tutegemee majanga. Afadhali wangelikuwa bacteria... ni rahisi kuwaua, siyo virus!Worst case scenario: Corona itaondoka na wengi, mimi nawe inclusive, wakiwamo adui namba moja, wale wakoloni weusi. Tanzania na utajiri wote kwa miaka nenda rudi tunaishi maisha ya KUUNGA UNGA mno. Walotufikisha hapo hawawezi kua sehemu ya SOLUTION. Kamwe! Just imagine leo hii tunaingozwa na kina DAB, yule alokua mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi et al! God forbid
kwa hiyo what is your take home msg my dear?Binadamu ana mucus kwenye njia ya hewa, hii ni sehemu ya kinga ya mwili. Hewa ikiingia na uchafu unakamatwa na mucus na uchafu ule unautoa kama kohozi.
Mucus goblets zikishambuliwa na virus ndiyo mafua yanachuruzika na huweza kukohoa. Maambukizi yakitokea kwenye mucus membrane husababisha kikohozi. Ndiyo maana unatumwa kikohozi ili wataalamu wagundue ni maambukizi gani.
Covid-19 hushambulia njia ya hewa na maambukizi huleta joto mpaka centi grade 38-39. Mucus goblets zinashambuliwa kwa kasi na Hutoa makohozi. Mapafu hukosa oxygen.
Afrika maisha yetu ni ya kufanya maoezi muda wote. Si kwa kupenda ni lazima utembee kwakuwa huna nauli ya basi na Gari huna. Mapafu yanakuwa imara. Pia vyakula tunavyokula ni organic.
Amina.tuombe sana tena sana
Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below:
WHO USES EXISTENTIAL THREAT?
The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action.
Pascal Mayalla Ni kweli uhai wetu unaweza kuwa extinct na Corona?
Naona wanasema hivyo kwa vile mfumo wa matibabu kwetu ni worse. Hivi umeona wards za mloganzila ?Yaani huko ukipelekwa upo stage ya kuhitaji ventilator andika umekufa tu. Ndo maana ikifika watu wengi wanaugua na wanahitaji ventilators. Wataachwa wafe tu,maana hazipo.Nimeshindwa kuelewa kwanini wametuweka katika kundi hili! Nika google na kupata hasa wanamaanisha nini. see below:
WHO USES EXISTENTIAL THREAT?
The phrase existential threat gets used when the continued existence of something is perceived to be at stake due to some force or action.
Pascal Mayalla Ni kweli uhai wetu unaweza kuwa extinct na Corona?
tumekusikia.... kama wao na world class health care wamekamatwa hivi, ikifika kwetu per se tutafanya nini? weka kando neno wasitutishe...Kati ya America zote,australia,ulaya,Asia na africa ni Bara lipi lenye wagonjwa wachache wa CORONA?.
na hata huku Africa utagundua ukiacha nchi za Africa kaskazini ambapo wapo karibu na ulaya na asia wanaofata kwa maambukizi ni sauzi africa..
kwa hyo wasitutishe.
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Ukiweza kufanya mazoezi ya kukimbia katika social distance fanya ni njia ya kuimarisha mapafu pia kula vizuri.kwa hiyo what is your take home msg my dear?
sijawahi kwenda Mloganzila. Ila najua ventilator hawana na hata kama zipo, wakikuwekea akaletwa "kigogo" wanaondoa kwangu wanampa kigogo.Naona wanasema hivyo kwa vile mfumo wa matibabu kwetu ni worse. Hivi umeona wards za mloganzila ?Yaani huko ukipelekwa upo stage ya kuhitaji ventilator andika umekufa tu. Ndo maana ikifika watu wengi wanaugua na wanahitaji ventilators. Wataachwa wafe tu,maana hazipo.
Mheshimiwa havioni, anaona kawaida tu!
nimekupata vemaUkiweza kufanya mazoezi ya kukimbia katika social distance fanya ni njia ya kuimarisha mapafu pia kula vizuri.
Mnajikuta wajuaji sanaIna hatarisha uwepo wetu katika sayari hii ya dunia sisi waafrika. Tunaweza kusiha wote